Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

Sawa kabisa usemacho, nilisimamishwa karibu na Msimbazi center ya kwamba nadaiwa elf 30 kwa kosa la speed kwenye eneo la 30kph leseni inayosoma sio yangu,gari ikazuiwa nikaenda kulipa baada ya hapo nilienda trafiki makao makuu kuonana na RTO wakaangalia wakanishauli niende kitengo cha tehama makao makuu mtaa wa ghana na ohio, mwisho wa siku trafiki aliyeko Songea ndo aliyeandika faini hiyo na alikosea kusoma namba za gari nikapewa namba yake tukawasiliana akanirudishia pesa yangu na kuomba radhi kwa usumbufu nilioupata.

Hawa hawakujali umakini wowote. Lengo lao lilikuwa kukusanya mapato kuvuka malengo.

Kwa dhuluma zao wengi wamekuwa wahanga wa dhuluma zao.

Serikali ilipaswa kuwajibika na hasa kuwafidia wahanga wote wa dhuluma hizi wakiwamo wale wa faini za kwenye zebra crossing. Ikumbukwe madereva kinyume cha sheria walikuwa wakishurutishwa kusimama kabisa hata kama hakukuwa na mtembea kwa mguu aliyehitaji kutumia zebra husika.
 
Mimwenyewe juzi nimelipia gari langu 120,000 wakati lilikua limepaki muda mrefu kabla hata hizo mashine hazijazagaa huku mikoani,siku nilipofunga engine nikaingia barabarani nikakutana na hilo deni nililipa lakini kwa laana nyingi sana
 
hayo ni makosa ya kibinadamu, nenda traffic ukalalamike. wataitafuta hiyo lessen ipo mkoa gani ova
Inawezekana. Lakini pia imeshatokea tena nadhani iliwekwa humu JF miaka kadhaa nyuma mtu katika pitapita zake huko Dodoma akakutana na gari linalofanana na lake hadi namba likiwa Bar.
 
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.

Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo baada ya kugundua kuwa kuna website ya police, TMS CHECK - Tanzania Police Force, ambayo unaweza kuangalia kama gari lako linadaiwa au la

Nikaona ngoja niangalie na gari langu, lahaula nakuta system inasoma kuwa gari lilipigwa faini Tarehe 4 Januari 2019 kwa kosa la kutozingatia kivuko cha waenda kwa miguu.

Leseni ambayo inayoambatana na kosa si yangu wala ya mke wangu lakini zaidi sana kama nilivyosema katika tarehe hii, gari haikutoka ndani kabisa .

Je katika mazingira kama haya napeleka wapi malalamiko yangu kuhusu faini hii ya kubambikiwa kimakosa au kwa makusudi kabisa?

Na je kuna uthibitisho wowote naoweza kuutumia katika mazingira kama haya ?

Naomba msaada wenu.

Natanguliza Shukrani
Mimi leo nimekamatwa kwenye tochi zao za kukagulia madeni ,kwa kujiamini nikawaambia wa comfirm tena. Cha kushangaza nina deni elf 60 .

Leseni ilioandokwa sijawahi kuwa hawa na mtu wa karib mwenye jina hilo , tarehe ya kuandikwa deni gari nilikuwa nayo mwenyewe na sijawah mpa hata mdogo wangu kuingia mjini na gari ....natumia mwenyewe miaka yote.

Wameniambia miende makao makuu,uzuri traffic alikuwa mstaarabu.

Hii lazima itakuwa makosa ya kibinaadam au nina wasiwasi plate number zinafanana nangari ingine labdaa
 
Mchunguze mkeo vizuri huenda alitoka na kibenteni chake hiyo tarehe wewe unalaumu polisi bure [emoji23]

Chunguza hiyo leseni iliyohusika kwenye makosa unaweza kuta ni mume mwenzako [emoji125][emoji125][emoji125]
Au fundi garage, imeisha nitokea hata Mimi. Anapigwa fine anaficha hakuambii. Mbaya sana unakuja kushtishwa imeisha kuwa double.
 
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.

Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo baada ya kugundua kuwa kuna website ya police, TMS CHECK - Tanzania Police Force, ambayo unaweza kuangalia kama gari lako linadaiwa au la

Nikaona ngoja niangalie na gari langu, lahaula nakuta system inasoma kuwa gari lilipigwa faini Tarehe 4 Januari 2019 kwa kosa la kutozingatia kivuko cha waenda kwa miguu.

Leseni ambayo inayoambatana na kosa si yangu wala ya mke wangu lakini zaidi sana kama nilivyosema katika tarehe hii, gari haikutoka ndani kabisa .

Je katika mazingira kama haya napeleka wapi malalamiko yangu kuhusu faini hii ya kubambikiwa kimakosa au kwa makusudi kabisa?

Na je kuna uthibitisho wowote naoweza kuutumia katika mazingira kama haya ?

Naomba msaada wenu.

Natanguliza Shukrani
Ukute hata kuna gari inayofanana na yako inatumia numbers kama zako. Hii hutokea wakati gari inalipiwa kodi ya TRA basi wahuni (wapigaji) hutumia njia hizo kusajili gari ingine. Yaani gari mbili zinalipiwa kodi moja tu.

So hapo angalia kadi yako inasoma wewe ni mmiliki wa ngapi.
 
trafic wengi hawataki kuelimishwa pale wao pia wakikosea!wanatumia mamlaka yao vibaya sana.juzi napita sehem naona trafik amisimama barabarani na hakuonyesha dalili yoyote kutaka mi nisimame.ajabu wakanifkuzia na gari yao IST nikapaki pembeni.madai yao wamenitaka nisimame mi sikutii!!tulibishana sana mwisho wakaniandikia nikawaahidi kwamba nitawaloga.hapa nna mkeka umedabo sijaulipia kwa usawa ulivyo mgumu.nyie trafic muwe na heshima tutawaloga sana mwaka huku mkivaa nguo ziwawashe
 
Hapa sasa ndio unapokuja umuhimu wa kumtoza faini mwenye leseni na sio gari kwa kupitia namba ya gari.
Waanzishe tu utaratibu kuwa mtu akitozwa faini basi ihusike leseni na iwapo asipolipia basi deni lake lihusike nae tu hata kama leseni ikiisha muda basi akienda kulipia alikute deni lake.

"To expect bad man not to do wrong is madness"
Typing errors zipo hata katika number ya leseni pia mkuu
 
trafic wengi hawataki kuelimishwa pale wao pia wakikosea!wanatumia mamlaka yao vibaya sana.juzi napita sehem naona trafik amisimama barabarani na hakuonyesha dalili yoyote kutaka mi nisimame.ajabu wakanifkuzia na gari yao IST nikapaki pembeni.madai yao wamenitaka nisimame mi sikutii!!tulibishana sana mwisho wakaniandikia nikawaahidi kwamba nitawaloga.hapa nna mkeka umedabo sijaulipia kwa usawa ulivyo mgumu.nyie trafic muwe na heshima tutawaloga sana mwaka huku mkivaa nguo ziwawashe
Mimi nilipigwagwa fine ya kionevu namna hio, trafiki niliwapita mbele kidogo nikiwa nafata exit kuelekea temeke mbele kukawa na lorry 2 za semi trailers zimefatana. Ile taa imezimevuta gari lorry moja likaenda liloko mbele yangu likasogea ila halikumaliza nikajikuta nimesimama juu ya alama za zebra.

Nyuma kuna magari mengine trafiki akanifata ananiambia nimesimamaje kwenye zebra. Namwambia gari zilikuwa kwenye motion ila taa ilipozima nikajikuta niko juu ya zebra mbele yangu kuna long vehicle we huoni? Akakomaa nimpe leseni atizame akanichapa mikeka miwili. Zebra na faulty tires. Aisee kwa hasira niliokuwa nayo niliamua kupaki gari mwaka mzima, fine zimeandikwa 2nd Nov 23" na sijazilipa keshokutwa zitafunga mwaka 😂. Askari ni waonevu sana.
 
Sasa hivi wamekuja na mzuka wa kuwafungia madereva wa mabasi kuendesha magari kwa ari mpya isiyokuwapo duniani.

Kwamba dereva huyo wakimfungia wao akalime nyanya tu, na haruhusiwi kuendesha hata gari lake binafsi.

Wasichojiuliza wengi ni kuwa mbona ari hiyo haipo kwenye kuwafungia waendesha magari binafsi au hata wale wa serikali?

Tatizo tuna vyama vya siasa vyenye kina imhotep, binti kiziwi, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wa namna hiyo kama wabeba maono wabobezi.

Tungekuwa na vyama vilivyo wazi kwenye vinavyotasimamia, chama chenye sera za kuwatimua hawa jamaa watoke barabarani, mboni kingevutia kundi hili kubwa la wapiga kura?

Siasa ni sayansi. Ajabu na kweli wala hatujifunzi kwa kina Trump na Harris huko wanakovutia minorities.
 
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.

Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo baada ya kugundua kuwa kuna website ya police, TMS CHECK - Tanzania Police Force, ambayo unaweza kuangalia kama gari lako linadaiwa au la

Nikaona ngoja niangalie na gari langu, lahaula nakuta system inasoma kuwa gari lilipigwa faini Tarehe 4 Januari 2019 kwa kosa la kutozingatia kivuko cha waenda kwa miguu.

Leseni ambayo inayoambatana na kosa si yangu wala ya mke wangu lakini zaidi sana kama nilivyosema katika tarehe hii, gari haikutoka ndani kabisa .

Je katika mazingira kama haya napeleka wapi malalamiko yangu kuhusu faini hii ya kubambikiwa kimakosa au kwa makusudi kabisa?

Na je kuna uthibitisho wowote naoweza kuutumia katika mazingira kama haya ?

Naomba msaada wenu.

Natanguliza Shukrani
kua mzalendo,
nenda ukalipe hiyo faini kuepuka fedheha na usumbufu usio wa Lazima baadae.

Hakuna sababu hata moja wala hakuna haja ya kutafuta huruma wala kuwahadaa watu kwa jambo wazi kama hilo gentleman 🐒
 
Mimi nilipigwagwa fine ya kionevu namna hio, trafiki niliwapita mbele kidogo nikiwa nafata exit kuelekea temeke mbele kukawa na lorry 2 za semi trailers zimefatana. Ile taa imezimevuta gari lorry moja likaenda liloko mbele yangu likasogea ila halikumaliza nikajikuta nimesimama juu ya alama za zebra.

Nyuma kuna magari mengine trafiki akanifata ananiambia nimesimamaje kwenye zebra. Namwambia gari zilikuwa kwenye motion ila taa ilipozima nikajikuta niko juu ya zebra mbele yangu kuna long vehicle we huoni? Akakomaa nimpe leseni atizame akanichapa mikeka miwili. Zebra na faulty tires. Aisee kwa hasira niliokuwa nayo niliamua kupaki gari mwaka mzima, fine zimeandikwa 2nd Nov 23" na sijazilipa keshokutwa zitafunga mwaka 😂. Askari ni waonevu sana.
Gentleman,
kwa wakati muafaka utalipa tu hiyo faini licha ya kwamba unazogeza mbele ulipaji huo. kupanga ni kuchagua.

hata hovyo,
muhimu zaidi ni kuzingatia sheria, kanuni, vigezo na masharti ya matumizi sahihi na bora ya barabara kuepusha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara na kuepusha ajali zisizona ulazima 🐒
 
Sasa hivi wamekuja na mzuka wa kuwafungia madereva wa mabasi kuendesha magari kwa ari mpya isiyokuwapo duniani.

Kwamba dereva huyo wakimfungia wao akalime nyanya tu, na haruhusiwi kuendesha hata gari lake binafsi.

Wasichojiuliza wengi ni kuwa mbona ari hiyo haipo kwenye kuwafungia waendesha magari binafsi au hata wale wa serikali?

Tatizo tuna vyama vya siasa vyenye kina imhotep, binti kiziwi, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wa namna hiyo kama wabeba maono wabobezi.

Tungekuwa na vyama vilivyo wazi kwenye vinavyotasimamia, chama chenye sera za kuwatimua hawa jamaa watoke barabarani, mboni kingevutia kundi hili kubwa la wapiga kura?

Siasa ni sayansi. Ajabu na kweli wala hatujifunzi kwa kina Trump na Harris huko wanakovutia minorities.
Gentleman,
zingatia sheria za usalama barabarani. Hakuna excuse kwenye hilo.

ni muhimu zaidi dereva ukakidhi sifa, vigezo na masharti ya kua dereva bora na makini uwapo barabarani ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.

hili ni jambo very serious lakini pia very sensitive.
utafutiwa leseni na utapigwa ban usiendeshe tena gari maisha yako yote kwa uzembe barabarani. Be careful gentleman 🐒
 
Sasa hivi wamekuja na mzuka wa kuwafungia madereva wa mabasi kuendesha magari kwa ari mpya isiyokuwapo duniani.

Kwamba dereva huyo wakimfungia wao akalime nyanya tu, na haruhusiwi kuendesha hata gari lake binafsi.

Wasichojiuliza wengi ni kuwa mbona ari hiyo haipo kwenye kuwafungia waendesha magari binafsi au hata wale wa serikali?

Tatizo tuna vyama vya siasa vyenye kina imhotep, binti kiziwi, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wa namna hiyo kama wabeba maono wabobezi.

Tungekuwa na vyama vilivyo wazi kwenye vinavyotasimamia, chama chenye sera za kuwatimua hawa jamaa watoke barabarani, mboni kingevutia kundi hili kubwa la wapiga kura?

Siasa ni sayansi. Ajabu na kweli wala hatujifunzi kwa kina Trump na Harris huko wanakovutia minorities.
Jamaa wale siwapendi kuliko kitu chochote duniani.
 
Back
Top Bottom