Gari lililozama na kuua wawili laonekana baharini

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Gari lililozama 29/9/2019 limepatikana.
Gari lilidondoka kutoka kwa Ferry na kuzama bahari hindi
Gari lilikuwa na na watu wawili mama na bingi yake.
Gari lilikuwa kimo Cha takribani metres 50. Juhudi za kuikoa zinaendelea.
 
Gari lililozama 29/9/2019 limepatikana.
Gari lilidondoka kutoka kwa Ferry na kuzama bahari hindi
Gari lilikuwa na na watu wawili mama na bingi yake.
Gari lilikuwa kimo Cha takribani km 50. Juhudi za kuikoa zinaendelea.
The deepest place in the ocean is Mariana trench which is 11km. Sasa wewe hii 50km umeipata wapi? Au hujui hata vipimo. Kama 50m hapo sawa
 
Auto correct kwa Simu bana Samahani. Yeah the deepest part is in the Pacific ocean known as Challenger deep in Guam that forms the Mariana trench. 😁😁
 
The deepest place in the ocean is Mariana trench which is 11km. Sasa wewe hii 50km umeipata wapi? Au hujui hata vipimo. Kama 50m hapo sawa

Ametereza mkuu, msamehe

1570626772065.png
 
Back
Top Bottom