Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hakikaaa 😔Mwisho wa mwaka watu wanatoa makafara ya damu kwa miungu yao ili wafanikiwe au waendelee kumaintain status zao. Mungu aturehemu
Hapo kuna mtu alishaingizwa kwenye hesabu lakini mkono wa Mungu umeingilia kati...Mwisho wa mwaka watu wanatoa makafara ya damu kwa miungu yao ili wafanikiwe au waendelee kumaintain status zao. Mungu aturehemu
Ajari❌Nimepita hapo asubuhi. Ndugu zangu ajari ni kitu kibaya sana.
Hatari sanaHapo kuna mtu alishaingizwa kwenye hesabu lakini mkono wa Mungu umeingilia kati...
Kauli za maskini hiziMwisho wa mwaka watu wanatoa makafara ya damu kwa miungu yao ili wafanikiwe au waendelee kumaintain status zao. Mungu aturehemu
Ajari❌
Ajali☑
Hivi kwanini zinaitwa Fremu? Hili jina linanitatiza sana.Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024.
Hadi sasa majeruhi wanne waliokuwa ndani ya fremu hizo wametolewa na jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Wananchi kuwaokoa Watu wengine walio ndani ya fremu zinaendelea.