Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

Terace

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
75
Reaction score
98
Habari.

Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF.

Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa.

Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara nyingi gari hii hutumiwa na mkewe (mwalimu) kwendea shule na church na pia issue za hapa na pale.

Alisema budget yake ni 15 to 20M, hivyo mie nilimshauri anunue Harrier Tako la Nyani...akasema zimekuwa common sana then nikamwambia aagize Toyota Alphard...nayo akasema ndefu sana eti kama unapaki lory lol.

Katika pita zangu JF nikaona post za Nissan Duallis ndo nafikiria nimwambie khs hiyo

Je, wana JF, kulingana na haya mahitaji yake... tumshauri gari lipi hasa litakalotimiza mahitaji yake kwa sasa? Anataka gari liwe;
  • Confortable and good looking
  • Liwe na nguvu but si zaidi ya 2000 CC
  • Lenye security features nzuri
  • Analoweza tumia kwa safari za 1000km+
  • Liwe lenye mwendo pia
Natanguliza shukrani za dhati kwa mchango wa mawazo mtakaouleta.
 
Subaru forester xt
20210120_082701.jpg
 
Habari.

Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF....

Hizi hapa chini zitakufaa sana kama una familia kubwa:-

1.Toyota wish cc1790 lina seat saba
2.Toyota sienta cc1490 lina seat saba
3.Volkswagen touran cc 1600 lina seat saba
4. Mark x zio cc 2390 lina seat saba
5. Toyota passo sette cc1490 lina seat saba
6. Toyota noah cc 1990 lina seat saba
7. Nissan xtrail cc1990 lina seat tano
8. Mazda mpv cc2000 seat 5 +2
9..............
 
Back
Top Bottom