Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subaru Forester SUV
Subaru forester xtView attachment 1681659
Naunga mkono hojaKwa hiyo budget ningeenda for Subaru Forester XT au Mitsubishi Outlander.
Crown big no.. 😀😀CROWN
Alphard mwake mwake.. au vanguard ya watu sabaCrown kwa comfortability na muonekano mwake ila ile ni kwa masingle na familia ambayo ni ndogo.
Gari za familia ni tako la nyani, Alphard, wish, Vanguard, dualis, x trial and the like.
Muonekano wakiume safi sanaHii chuma imekaa kishua sana.
Bajeti yake ndogo kwa mnyama GuardAlphard mwake mwake.. au vanguard ya watu saba
Achukue mkononi kwa mtuBajeti yake ndogo kwa mnyama Guard
Habari.
Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF.
Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa.
Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara nyingi gari hii hutumiwa na mkewe (mwalimu) kwendea shule na church na pia issue za hapa na pale.
Alisema budget yake ni 15 to 20M, hivyo mie nilimshauri anunue Harrier Tako la Nyani...akasema zimekuwa common sana then nikamwambia aagize Toyota Alphard...nayo akasema ndefu sana eti kama unapaki lory lol.
Katika pita zangu JF nikaona post za Nissan Duallis ndo nafikiria nimwambie khs hiyo
Je, wana JF, kulingana na haya mahitaji yake... tumshauri gari lipi hasa litakalotimiza mahitaji yake kwa sasa? Anataka gari liwe;
Natanguliza shukrani za dhati kwa mchango wa mawazo mtakaouleta.
- Confortable and good looking
- Liwe na nguvu but si zaidi ya 2000 CC
- Lenye security features nzuri
- Analoweza tumia kwa safari za 1000km+
- Liwe lenye mwendo pia
Alphard kwanza ni tamu sijui kama anaijua, asije kuwa anafananisha body lake na Noah!!Alphard mwake mwake.. au vanguard ya watu saba
terrano prado sx5Habari.
Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF.
Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa.
Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara nyingi gari hii hutumiwa na mkewe (mwalimu) kwendea shule na church na pia issue za hapa na pale.
Alisema budget yake ni 15 to 20M, hivyo mie nilimshauri anunue Harrier Tako la Nyani...akasema zimekuwa common sana then nikamwambia aagize Toyota Alphard...nayo akasema ndefu sana eti kama unapaki lory lol.
Katika pita zangu JF nikaona post za Nissan Duallis ndo nafikiria nimwambie khs hiyo
Je, wana JF, kulingana na haya mahitaji yake... tumshauri gari lipi hasa litakalotimiza mahitaji yake kwa sasa? Anataka gari liwe;
Natanguliza shukrani za dhati kwa mchango wa mawazo mtakaouleta.
- Confortable and good looking
- Liwe na nguvu but si zaidi ya 2000 CC
- Lenye security features nzuri
- Analoweza tumia kwa safari za 1000km+
- Liwe lenye mwendo pia
Anasema ni ndefu kama lori kwenye ku park atakuwa anapata shida.. ila ni gari nzuri kwa familia.. kwanza kina kimbia.. kuna siku tulikuwa tunatoka dar usiku usiku.. nilikuwa nakiangalia kwa mbalia kinavyo jitahidi kukimbia..Alphard kwanza ni tamu sijui kama anaijua, asije kuwa anafananisha body lake na Noah!!
Nilishawahi safiri na Alphard Arusha to Dar, gari iko stable muonekano mzuri labda aseme haipendi sabb iko juu sana na pia mlango wa nyuma ndio vile yan kama tunafungua hiace.
Crown seating capacity ni 5 seats ambayo ni sawa na tako la nyani, vanguard, dualis na x trail. Kama anataka gari kubwa achukue Alphard au Noah.Crown kwa comfortability na muonekano mwake ila ile ni kwa masingle na familia ambayo ni ndogo.
Gari za familia ni tako la nyani, Alphard, wish, Vanguard, dualis, x trial and the like.
Kuna Vunguard za seat 7Crown seating capacity ni 5 seats ambayo ni sawa na tako la nyani, vanguard, dualis na x trail. Kama anataka gari kubwa achukue Alphard au Noah.
Halafu kama hiyo IST anatumia mkewe kwa nn asiongeze gari nyingine kubwa?
okay sikujuaKuna Vunguard za seat 7
Noah!! Sijui nazionaje mwenzenu naona haifai kabisa kuwa gari ya nyumbani. Alphard ni sawa.Crown seating capacity ni 5 seats ambayo ni sawa na tako la nyani, vanguard, dualis na x trail. Kama anataka gari kubwa achukue Alphard au Noah.
Halafu kama hiyo IST anatumia mkewe kwa nn asiongeze gari nyingine kubwa?
Kama ni hivyo vuta Nissan X Trail ya kuanzia 2008 kuja juu.Noah!! Sijui nazionaje mwenzenu naona haifai kabisa kuwa gari ya nyumbani. Alphard ni sawa.
Crown seating capacity ni sawa ila kuwa gari ya familia me naona haipendezei, family car inatakiwa iwe kubwa/ juu kiasi.
Kama ni mtu wa kushaurika basi itabidi aone hizi comments na azifanyie kazi, IST tayari ipo basi kifuatacho ni gari kubwa/ ama za juu sio tena hao kina crown na wenzie wa chini chini chini.
Chini ya cc 2000 si kuna corolla fielder pia? Ana machaguo mengi tuToyota ISIS pia iko sawa, akipata mpya yenye Valvematic iko poa sana.
Gari yangu pendwa😂Chini ya cc 2000 si kuna corolla fielder pia? Ana machaguo mengi tu
Nunua 😂Gari yangu pendwa😂