Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu


Anaijua alufadi kweli? Mwambie anunue ALPHARD.
 
Alphard mwake mwake.. au vanguard ya watu saba
Alphard kwanza ni tamu sijui kama anaijua, asije kuwa anafananisha body lake na Noah!!

Nilishawahi safiri na Alphard Arusha to Dar, gari iko stable muonekano mzuri labda aseme haipendi sabb iko juu sana na pia mlango wa nyuma ndio vile yan kama tunafungua hiace.
 
terrano prado sx5
 
Anasema ni ndefu kama lori kwenye ku park atakuwa anapata shida.. ila ni gari nzuri kwa familia.. kwanza kina kimbia.. kuna siku tulikuwa tunatoka dar usiku usiku.. nilikuwa nakiangalia kwa mbalia kinavyo jitahidi kukimbia..
 
Crown kwa comfortability na muonekano mwake ila ile ni kwa masingle na familia ambayo ni ndogo.

Gari za familia ni tako la nyani, Alphard, wish, Vanguard, dualis, x trial and the like.
Crown seating capacity ni 5 seats ambayo ni sawa na tako la nyani, vanguard, dualis na x trail. Kama anataka gari kubwa achukue Alphard au Noah.

Halafu kama hiyo IST anatumia mkewe kwa nn asiongeze gari nyingine kubwa?
 
Crown seating capacity ni 5 seats ambayo ni sawa na tako la nyani, vanguard, dualis na x trail. Kama anataka gari kubwa achukue Alphard au Noah.

Halafu kama hiyo IST anatumia mkewe kwa nn asiongeze gari nyingine kubwa?
Noah!! Sijui nazionaje mwenzenu naona haifai kabisa kuwa gari ya nyumbani. Alphard ni sawa.

Crown seating capacity ni sawa ila kuwa gari ya familia me naona haipendezei, family car inatakiwa iwe kubwa/ juu kiasi.

Kama ni mtu wa kushaurika basi itabidi aone hizi comments na azifanyie kazi, IST tayari ipo basi kifuatacho ni gari kubwa/ ama za juu sio tena hao kina crown na wenzie wa chini chini chini.
 
Kama ni hivyo vuta Nissan X Trail ya kuanzia 2008 kuja juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…