Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

Kwa hela hiyo aagize Rav 4 kill time ni 4 wheel na iko juu unaingia sehemu yoyote,sio hiyo Alphad iko chini mno
 
Subaru Forester XT
Nissan Duallis
Toyota Ruminion

Ipi kali kwenye hizo?

Asante sana...
Me si mtaalamu sana wa magari. Yaweza kuwa mapenzi yangu tu dhidi ya XT.😀
Ila nimecheki mtandaoni(Google) naona stll XT anapata rating nzuri dhidi ya dualis 4 dhidi ya 3.5.
Ila vingi kama zinafanana.
Labda wataalamu zaidi waje cc Mad Max
 
Anataka gari ya familia?european cars zipo nying sana zenye sifa hzo ulizotaja...

Wabongo tumekremisha sana MJAPAN
 
Subaru Forester XT
Nissan Duallis
Toyota Ruminion

Ipi kali kwenye hizo?

Asante sana...
Toyota corolla spacio ni gari nzuri na ngumu na ina nafasi kubwa atoke huko kwa IST ahamie spacio kwa furl consumption ileile lakini ndani ya umbo kubwa.
 
Anataka gari ya familia?european cars zipo nying sana zenye sifa hzo ulizotaja...

Wabongo tumekremisha sana MJAPAN
Tatizo la hayo magari mnayo yasema ni moja tu, hata ukipasua sidemirror hadi usubiri ikatafutwe dar au arusha hhahaaaa na ikikata fanbelt ndio kabisa unapaki gari siku tano hadi wiki kusubiri spare itafutwe dar au nairobi kabisa unakuwa utumwa huo .

Kama nissan ambaye ni mjapani tu watu wana haha spare parts ndo ije mjeruman au muingereza? Nina jamaa yangu gari ilimharibikia njian BMW X5 imekata sijui kitu gani chini huko hahaha gari ina wiki ya pili sasa kadanganywa dar kuna spare katafuta kaikosa ndio kaja kupata wanao agiza spare za European cars ndio wamemuagizia

Sasa wiki nzima kama huna gari nyingine basi unatembea hahahahaaaa utumwa kabisa ni sawa na gereza la dhahabu.

Wakati toyota hata kwa mangi unapata parts yako una chana mwendo na kuokoa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…