Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

Habari Jombaa, Nipe maoni yako kuhusu Suzuki Jimny (second generation, 1995 - 1998). Specifically, nataka manual. Gharama zake za umiliki inaweza kufanana na Toyata? I'm very cheap guy.
Kwenye upande wa umiliki



Mengine, Extrovert Ameshaelezea.
 
Wanaomiliki hizo X5 wana gari nyingine nyumbani.

Sijawahi ona mtu anamiliki gari la Europe bila kuwa na gari ya pili.

Wengi wana uwezo, kuwa na gari ya pili ni kawaida.
 
9.Toyota isis
 
Wanaomiliki hizo X5 wana gari nyingine nyumbani.

Sijawahi ona mtu anamiliki gari la Europe bila kuwa na gari ya pili.

Wengi wana uwezo, kuwa na gari ya pili ni kawaida.
Wapo ambao hawana nyingine.
Kuna mtu ana X3 na hana gari nyingine, pia kuna mwingine ana Audi hiyo moja tu
 
anunue wish sasa c anafamilia kubwa mle mnaingia 10 na mafuta n kama ya kuungia samaki kdogo tu
 
Hii gari inakunywa wese kama jini kisirani,kama anaouwezo wa kuchezea laki tano na kuendelea kwa ajili ya mafuta sawa ila kama uwezo mdogo bora achukue rav 4 na aiache kabisa subaru.
Umewahi kuitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…