Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

Opa inateleza mkuu gari yangu ya 2 kumiliki, ila gari ile nyepesi sana but kwa mbio ni balaa
kwa wepesi nakubaliana na wewe kabisa maana hata kulisukuma huwa sihitaji msaada. Nalisukuma mwenyewe tu ikitokea limegoma kuwaka.

Kwa mbio ndio usiseme, linatembea kinoma af liko stable likiwa na suspension parts nzima.
 
Uko vizuri
 
Suzuki grand Vitara, mistubish outlander
 
Kwa mimi ningekushauri uchukue alhpard ni gari nzuri pia gari ya ndoto zangu [emoji120][emoji120][emoji120]tuseme amina
 
Hivi Nissan X trail hizi za 2013 na kuendelea vipi? Naombeni kwa wente weledi
 
Kwa budget ya 20M Fari family mtu wa umri 60yrs. Walau iende na shamba. Sio matanuzi tu mjini. Isafiri songea -il sirari. Haya wenye kindakindaki ma machuma toeni ushauri. Kuna mtu kaniambia Nissan X trail. Je kuna option ingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…