Gari moja dogo lakamatwa like Jaribu kuingia a waarabu ki age do nchini Israel kutokea West-Bank!!

Gari moja dogo lakamatwa like Jaribu kuingia a waarabu ki age do nchini Israel kutokea West-Bank!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Vikosi vya usalama vya Israeli vilizuia magari yaliyokuwa yamewabeba Waarabu wakijaribu kuingia kinyume cha sheria kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli katika Msalaba wa Maccabim jana.

Dereva huyo, kijana kutoka Hebron, alijaribu kujifanya Myahudi kwa kuvaa kippah (Angalia video) na kuonyesha vifaa vya kidini ndani ya gari yake kumbe alikuwa Mwarabu na Gaidi na sasa cha moto atakipata maana adhabu ya Kifo imeshaidhinishwa na Bunge kuwa Nyonga wote wanaofanya Ugaidi nchini Israel
 
Tuliza kichwa kwanza ndiyo uje na habari mkuu
Sorry nimejaribu ku edit kichwa cha habari imeshindikana hata hivyo naomba kisomeke hivi-
Gari moja dogo lakamatwa likijaribu kuingiza waarabu kinyemela nchini Israel kutokea West-Bank
 
Back
Top Bottom