Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

Ila Tanzania kuna wajinga wengi sana hawa ma star mpaka siku wakifa ndio unajua ukweli wao .
 
Hizi ndizo habari wanazozitaka Watanzania.
Ndio level yao.
Nandy na billnass
Zuchu na Diamond
Alikiba na sijui binti nani
 
Duuh kumbe na ww huwa ni poyoyo level hii...

Kaandika jina lake (nickname) hapo 'NENGA'
Unadhani kila mtu anajua hiyo NENGA ni kitu gani? Ni nani huyo mtu kwanza. Maana vijana muna muda wa kufuatilia mambo ya kijinga jinga
 
Hapo amelipia plate number tuu hamna kitu hata wewe ikitaka njoo inbox nikulipie uandike jina lako.
Nimeona na yeye hamonaizi anayo kama hiyo wanasema naye kanunua hahaaa hawa wasanii wana heka heka nyingi sana.
 
Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.


View attachment 3197653
Mimi sijaangalia Gari, nilikua nawaangalia hawa waandishi 😅😅😅😅😅 wasipoangalia wataishia hivo hivo.
 
$20,000 mbona hela ya kawaida tu kwa hawa wasanii wetu,ingekuwa hiyo bei si wengi wangekuwa nazo
Umetumwa wewe,kwani Kila mtu anawaza gari,wengine wanafungua miradi hawataki show off za kijinga
 
Back
Top Bottom