Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Uko sahihi mkuuSidhani kama ndio hivo,mi nahisi ni promo ya wimbo wake na Ne yo unaokwenda kwa jina la merry you. Lakini kama ni yake hongera kwake.
Haters @ work!!Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Wewe umegundua nnWatanzania jamani, angalia iyo plate number na mazingira ya gari.
Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Subiri TEAM MITUSI WAJE.Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Ukiwa na pesa hauwezi kuwa na mawazo kama yako.
Hiyo picha ya gari iliyopo kwenye video yake mpya na neyo...video inachezwa trace unaweza kuishuhudia mkuuPhotoshop
Yn nakupa hongera umegundua tofaut,uko makin sn.Watanzania jamani, angalia iyo plate number na mazingira ya gari.
Mbona wewe una wanaume wengi lakini mpini ni uleule..Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Hio neighborhood sio Bongo.Sidhani kama ndio hivo,mi nahisi ni promo ya wimbo wake na Ne yo unaokwenda kwa jina la marry you. Lakini kama ni yake hongera kwake.