Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Ally Kiba amenunua VITZ mpya nyeusi
Lakini si gari na inafanya kaz kama magari mengine
je tofaut gan ipo hapo uwe na gari ya kifahari ama gari inayofanya kaz na kukusaidia katika mishe za kila siku yote ni magari tu tofaut ipo kwenye bei na ubora na ufahari lakin kazi yake ni moja kuendesha na yote yanaendesheka.
 
Hiyo gari ametumia kushoot video, kupata uhakika zaidi angalia video yake ya marry you kuna gari rangi ya blue ina plate number imeandikwa SIMBA.
 
Kweli maskini anafikra duni
U duni wa waafrica unatokana na fikra zao dun
Leo hii tunazungumzia tren ya umeme Tanzania, kumbe wewe bado unateatea gari mosh, hilo ni tatizo
 
Kila siku ina gari yake, angalia ile video ya utanipenda ndo utajua. na zimeandikwa kabisa Monday to Sunday.
 
Nimesikia mchezaji wa Chelsea Ngolo Kante ambaye mambo anayofanya huwezi kuhoji uwezo wake anatumia Starlet! Lakini wasanii wa bongo zawadi za birthdays tu wanazawadiana Range Rover!
 
Mbona gari inabendera ya bongo?
 
Acheni ushamba haya magari yamejaa town mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…