Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Hapo kwenye Kichwa cha Habari ulimaanisha Yoweri au hivyohivyo Joel?
 
Swahili Union Version ZAB. 127:1-2 BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…