Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Bado natafiti baada ya kuona picha za wafungwa wakifunga kitambaa cha kijani kinachodaiwa kuwa ni bendera ya CCM kwenye milingoti jijini Dodoma.

Kama ni wafungwa waliomba kwa mapenzi mema kupandisha bendera za chama wanachokiamini basi hilo ni jambo jema.

Na kama UVCCM walijisahau na wakawaomba wafungwa wawasaidie kutekeleza majukumu yao basi hilo nalo ni jambo lingine tofauti.

Bendera ni tunu ya chama na ina heshima yake haiwezi kupandishwa tu na " mtu yoyote " kama bendera za Yanga au Simba.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wafungwa hawana uhuru wa kuamua kiasi hicho, hata wakitamani jambo bado hawana uhuru wa kulifanya.

Lakini nakumbusha, jeshi la Magereza linatekeleza shughuli mbalimbali za kuingiza pesa ili kuwezesha taasisi kujiendesha, sasa nguvu kazi pekee iliyopo ni wafungwa na askari wataalam wa fani mbalimbali, hii ni kinyume cha JKT ambao hutegemea vijana (rectuits na Service men) na askari wao.

Kwa mtazamo huu inawezekana mkuu wa Gereza alipata tenda ya kufanya kazi hiyo ya kupandisha bendera na akatoa amri shughuli hiyo ikatekelezwa na jeshi likaingiza pesa.

Mtazamo wa upande wa pili: hivi Chadema wangeenda kukodisha hao wafungwa kwa ajili ya kazi hiyo wangekubaliwa? Mi sina majibu pia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom