Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Ukiwa na Gari kuna mahitaji mengine hugharamiki nayo wala nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hadi madem wqchawi watakuja tuKwahiyo unataka umiliki gari kwasababu ya mademu? Na siyo kama usafiri tena!
Umeisahau VX V8 Mnyama mkali..kuna gari afu kuna chombo cha usafiri gari izo forester vanguard fortuner range
Nyumba ni basic need na gari ni luxury need.Gari kwaajili ya matumizi ya familia ni Muhimu, hata ununue porte tu itakusaidia.
ila mi ni muumini wa nyumba kwanza.
Hawawezi kukuelewa bro. Unakuta Athlete ina Ikeda ndani na AC ipo 18 nje kuna 32 ova tanuli.Gari ni kama gheto mkuu, hasa uwe chuma ya kwenda .. utawafuta sanaaaa.. View attachment 2725366
chuma kamaa hii mtoto akiingia akikuta na ule utulivu wa ndani na mziki wake analowa na kulowa.. kazi inabaki moja tu
au nasema uwongo Mad Max
Kabisa ukiwa na nyumba utaheshimika zaidi na wanaokujua, ukiwa na gari utaheshimika zaidi na wanaokuona.Nyumba ni basic need na gari ni luxury need.
😅😅😅 Athelete uwe nayo kama GRS204 ... piga M3, aaah kama kusukuma mlevi kama watoto wa chuoHawawezi kukuelewa bro. Unakuta Athlete ina Ikeda ndani na AC ipo 18 nje kuna 32 ova tanuli.
Ukimpa lift, akifika kwao hashuki, anasema mama yuko na funguo amepitia vicoba atarudi late. Twende kwako.
Yes thats the fact.Kabisa ukiwa na nyumba utaheshimika zaidi na wanaokujua, ukiwa na gari utaheshimika zaidi na wanaokuona.
Wanje wanje.. Wa ndani wa ndani.😅😅😅 Athelete uwe nayo kama GRS204 ... piga M3, aaah kama kusukuma mlevi kama watoto wa chuo