Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

Wanje wanje.. Wa ndani wa ndani.

Umenikumbusha aisee kuweka tint kioo cha mbele. Dr Toyota alisema 100k naona parefu.
Jilipue ina atamu ile ya mbele.. mkiwa nadani huonekani mahala popote.. Kuna wale jamaa walikuwa mikocheni walikuwa wamechangamka ila classic.. ndani unaona nje vizuri sana wa nje hata afanyaje haoni
 
Hizi level tusubiri tu pale pa life begins at......
hata haka ni fresh 😅😅
suzuki-cappuccino-1.jpg
 
Back
Top Bottom