Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

Wanje wanje.. Wa ndani wa ndani.

Umenikumbusha aisee kuweka tint kioo cha mbele. Dr Toyota alisema 100k naona parefu.
Jilipue ina atamu ile ya mbele.. mkiwa nadani huonekani mahala popote.. Kuna wale jamaa walikuwa mikocheni walikuwa wamechangamka ila classic.. ndani unaona nje vizuri sana wa nje hata afanyaje haoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…