IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Yeye alimvua mtu huko Afrika KusiniAcha kudanganya mwenzio. Kubali cha kuingiza hari na kukaa nalo miezi 3 kinatolewa kwa mtu asie raia. Kama kuna mtamzania unamjua alipewa kibali hicho alipewa kwa rushwa. Halafu calculator ni kwa magari yote hata yanayopita mipakani.
Ila siamini toyota hilux linaweza.kununuliwa kwa 4.5.
Kwa sababu wana local industriesMimi nimewahi fanya kazi na hao watu wa west Africa kwao kodi ni kubwa kuliko huku kwetu,
Vipi ulifanikiwa?Nimeshukuru sana ndg yangu naamini sijachelewa naanza kushughulikia hii issue now naamini hii msg ni msaada mkubwa sana
Unafaneje hapoUlikuwa unaishi huko?Limesajiliwa kwa jina lako huko?Kama ni hivyo kuna namna ya kuingiza gari bila stress
πππNimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,
Hahahahah nimecheka sanaNimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,