coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Ataki busIfakara unaenda sehemu gani?
Kama hiyo ni gharama panda basi ukifika Ifakara nitakupokea na kukutembeza na gari yangu.
Akodi private car afurahie maisha.Ataki bus
"Hataki"Ataki bus
Hiyo 50K ya dereva analala lodge ya 10K au hapo bado kula.200k Per Day ipo 4WD..
Mafuta Juu yako.
Dereva unamlipa 50k per Day.
Hata mimi naweza kumtembeza na motor car yangu. Akaribie ifakara, mkuu unapatikana maeneo gani hapa Ifakara?Ifakara unaenda sehemu gani?
Kama hiyo ni gharama panda basi ukifika Ifakara nitakupokea na kukutembeza na gari yangu.
Nakucheki kaka200k Per Day ipo 4WD..
Mafuta Juu yako.
Dereva unamlipa 50k per Day.
Kwa Mji wa Ifakara, hiyo elfu 50 analala lodge nzuri, anakula chakula kizuri, na anashushia na maji moto au baridi ya kutosha tu.Hiyo 50K ya dereva analala lodge ya 10K au hapo bado kula.
Atleast 120K
Hivi lami ya kutoka Kidatu-Ifakara imeshakamilika, au bado? Ikikamilika, huo mji utakuwa mtamu sana.Akodi private car afurahie maisha.
Karibu sana Ifakara mleta mada.
Bado kuna sehemu hazijakamilika ila kwa ujumla kuna unafuu mkubwa na road ilivyokuwa mwanzo.Hivi lami ya kutoka Kidatu-Ifakara imeshakamilika, au bado? Ikikamilika, huo mji utakuwa mtamu sana.
95% ishakamilika bado padogo sanaaBado kuna sehemu hazijakamilika ila kwa ujumla kuna unafuu mkubwa na road ilivyokuwa mwanzo.
Ushaharibu biashara wewe πππIfakara unaenda sehemu gani?
Kama hiyo ni gharama panda basi ukifika Ifakara nitakupokea na kukutembeza na gari yangu.
hata kupanda bus ni kuchezea hela baiskeli hawazioni? nimekumbuka hata baiskeli ni kuchezea pesa miguu hawana?Nye watu mnachezea hela, kupanda bus ni aibu?