Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

coockie monster

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
373
Reaction score
724
Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.

Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
 
Ifakara unaenda sehemu gani?
Kama hiyo ni gharama panda basi ukifika Ifakara nitakupokea na kukutembeza na gari yangu.
Hata mimi naweza kumtembeza na motor car yangu. Akaribie ifakara, mkuu unapatikana maeneo gani hapa Ifakara?
 
Back
Top Bottom