Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

Serikali ina charge hela nyingi kuliko mwenye bidhaa 😀, Au wanaogopa wakishusha kutakua na msongamano
Hawataki usawa wa maisha walionacho wawalingie wengine ndio wanapenda unaona wengi hapo juu wanauliza hiyo US 600 ni ya nini? hawaamini kama bei ya gari ipo hivo, msongamano upo kwa ajili ya barabara hamna sio gari nyingi,nilikuwa namchukia sana tena sana Magufuli ila hakika angekuepo tungekuwa na barabara nzuri nyingi kama ilivo Zanziber hii leo.
 
watakua hawataki magari yajae kitaa
Sio kweli wangetaka hivo wangekuwa na utaratibu wa kuondowa magari mabovu yaliyopo barabarani,ni kukomoana tu ili gari ionekane anasa. Kama wanajali wangezuia pikipiki zinazouwa watu na kutia vilema kila siku. takwemu zikoje kwa mwezi tunapoteza watu wangapi kwa pikipiki.
 
CCM ni chanzo cha umaskini Tanzania, na hili halihitaji fedha za kigeni, ni kubadilisha sheria tuu, kodi kubwa za hovyo kama hizi ni kuongeza umaskini tuu, na ni kila sekta sio magari tuu,kodi kubwa na interest kubwa zinaua uchumi TZ, punguza hiyo mizigo miwili ili watu wakuze capital biashara zikue na wengi wapate kazi
 
Back
Top Bottom