RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Cheap to buy expensive to runKigari kipo poa sana aisee, halafu bei ya kutupa, ishu kukiingiza huku kuzimu
Cheap to buy expensive to runKigari kipo poa sana aisee, halafu bei ya kutupa, ishu kukiingiza huku kuzimu
Nchi inahitaji reform kila kona almost kila taasis. Huu ni uhuni kama sio attempt ya kukwamisha raia wasimiliki vitu vizuri.Duhhhh.....
Hii nchi imefikia pabaya sana aiseee
Huwa najaribu kufuatilia video youtube yani kuna mtu anamiliki gari ya 90's anafanya maboresho na gari inakuwa vizuri kabisa.Unanunua hapa hapa Bongo si ndio
Investment. Tatizo sisi pesa mkali. Unaweza ukanunia gari lililopata ajari afu ukaanza nalo mdogo mdogo. Miaka miwili linatoka fresh.Huwa najaribu kufuatilia video youtube yani kuna mtu anamiliki gari ya 90's anafanya maboresho na gari inakuwa vizuri kabisa.
Juzi nilicheki video ya jamaa mmoja yupo kenya anafanya maboresho ya gari za kizamani kwa kubadilisha nafiri ilikuwa cabrators kama sikosei, na kwa mfano zaidi kuna gari landrover baada kufanyiwa hayo maboresho ikawq inatumia wese 14km/ltrs.
Na bado parking za mtaani unakuja kulipia sijui ile kodi ili magari yapite wapi?Utadhani hautalipa tena kodi kwenye mafuta