Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

Gari ni anasa Tanzania. 😁
Tumshukuru Mwinyi na falsafa yake ya Ruksha. Wazee wanasema hata TV zamani ilikuwa ni anasa kuwa nayo enzi za Nyerere. 😁

Tanzania gari sio mahitaji ya binadamu Tanzania, gari inachukuliwa ni kama pombe yenye bei ghali, hivyo inapigwa kodi sio ya kitoto. Kumiliki kigari kama ki Raum/ Mazda Verisa/ Probox/ Sienta bongo jiandae 17M mpaka 20M. 😁

Hii nchi ya mapoyoyo. Unatumia $ 8,000 kununua kigari used Japan cha cc 1490. 😁
Safari bado ni ndefu sana hii nchi. Kuna wastaafu kibao nawajua wamenunua magari baada ya kustaafu. Anapewa pensheni ndio ananunua zake ki Raum au Wish chakufia nacho. Miaka 60 ndio mtu anavuta gari bongo ya kujifunzia kuendesha na kufa nayo. 😁

Gari ni bei bongo, gari ni anasa kubwa sana bongo hii.
 
Safari bado ni ndefu sana hii nchi. Kuna wastaafu kibao nawajua wamenunua magari baada ya kustaafu. Anapewa pensheni ndio ananunua zake ki Raum au Wish chakufia nacho. 😁

Gari ni bei bongo, gari ni anasa kubwa sana bongo hii.
Yani wanapiga parefu kuliko walioumiza kichwa kutengeneza gari.
 
Gari ni anasa Tanzania. 😁
Tumshukuru Mwinyi na falsafa yake ya Ruksha. Wazee wanasema hata TV zamani ilikuwa ni anasa kuwa nayo enzi za Nyerere. 😁

Tanzania gari sio mahitaji ya binadamu Tanzania, gari inachukuliwa ni kama pombe yenye bei ghali, hivyo inapigwa kodi sio ya kitoto. Kumiliki kigari kama ki Raum/ Mazda Verisa/ Probox/ Sienta bongo jiandae 17M mpaka 20M. 😁

Hii nchi ya mapoyoyo. Unatumia $ 8,000 kununua kigari used Japan cha cc 1490. 😁
Safari bado ni ndefu sana hii nchi. Kuna wastaafu kibao nawajua wamenunua magari baada ya kustaafu. Anapewa pensheni ndio ananunua zake ki Raum au Wish chakufia nacho. Miaka 60 ndio mtu anavuta gari bongo ya kujifunzia kuendesha na kufa nayo. 😁

Gari ni bei bongo, gari ni anasa kubwa sana bongo hii.
Yeah kuna wastaafu pale job wawili, mmoja kanunua Swift hivi karibuni na mwingine maza kadaka IST white anaendeshwa na mwanae.

Sijui kwamba wakati watumishi walishindwa au maamuzi.
 
Brother kwa mtu kama Mwalimu ukisema ajichange 20M kununua Wish sijui atafanyaje! Inabidi tuu asubiri aje anunue kwa kiinua mgongo. 😁

Ndio maana unaona walimu wengi wanavuana vi Carina au Corolla T900 AAB. 😁
 
Brother hii nchi sijui aisee! Ukienda Sauzi au Zimbabwe unakuta Mashine ya kuvunia (Combine Harvester) nzuri, ila ukiwaza kuileta bongo, mauza uza kodi na kitu kodogo, unahairisha aisee.
Kuna kipindi niliagiza smartphone, na simu ndogo 10 kupitia AliExpress, nikajua vitapitia posta ya kigamboni ninapochukuliaga, ebwana siku vimefika nilipigiwa simu nikavichukue pale mjini posta makao makuu vipo chini ya TRA, sitasahau kilichonikuta, nikajidai nasusa naviacha wakaniambia usipokuja tunaviuza, nilitoa hela ambayo sikutegemea.
 
Pole mkuu, nimewahi agiza vifaa flan vya mashine ya kuchakata asali, FEDEX, vikaja nilipigwa bei pamoja na agent robo tatu ya bei.
 
Mimi sijasoma uchumi wala sio mtaalam wa uchumi ila hizi kodi zinazoweza kuepukika zinashusha sana thamani ya fedha

Taratibu 10m inaanza kuonekana ni fedha ambayo huwezi kufanya jambo kubwa

Unakusanya mapato makubwa ambayo yanaharibu sarafu yako hilo ni jambo la kufikirisha sana

Kodi ni ufunguo wa maendeleo kwa serikali ila wingi wa kodi ambayo haina thamani haiwezi kuleta maendeleo yakushangaza

Kama lengo ni kuzuia foleni barabarani nadhani watakuwa wanakosea sana kwasababu huwezi kuzuia kuharisha kwa kukaa na njaa lazima utakufa tu

YAani foleni ya dar inafanya kodi zipande ili kuondoa tatizo la dar as if mikoa mingine hawatumii magari

MAra nyingi huwa nasema huu mfumo wa kutegemea uchumi wa mkoa mmoja unaumiza mikoa mingine nadhani ni vema sasa kila mkoa ujitegemee kwa uchumi wake hii namaanisha kila kinachopatikana kwenye mkoa husika kifaidishe mkoa huo tu tuache ujinga wa kodi za mkoa fulani zinaenda kujenga madaraja ya mkoa mwingine
 
Back
Top Bottom