Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

NISSAN XTRAIL kuanzia 2007 - sioni ikiwa kwenye list; bado inafanya vizuri sokoni
na ni moja ya gari imara sana
Kwa sasa ni gari ina agizwa sana na kwa nchi jirani ni moja ya gari pendwa sana
 
Brevis ilikua discontinued 2007. Almost miaka 19 iliyopita.
Wewe mzee emu jazia jazia nyama hii Hilux ya 2026 ina balaa sana hii February nimeikuta sehemu inauzwa kama used..
20260206_113752.jpg
20260206_113804.jpg
20260206_113814.jpg
 
Back
Top Bottom