Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

NISSAN XTRAIL kuanzia 2007 - sioni ikiwa kwenye list; bado inafanya vizuri sokoni
na ni moja ya gari imara sana
Kwa sasa ni gari ina agizwa sana na kwa nchi jirani ni moja ya gari pendwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…