100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.
1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3- Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4- Muonekano mzuri na imara.
5- Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6- Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7- Isiwe old model.
8- Isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).
Na kinachonimaliza kabisa...
9-bIwe na bei nafuu.
Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..
Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, harrier n.k
Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?
Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.