Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Kumbe kumiliki vitz na Ist ni kumkosea mungu au nikosa kisheria?
Screenshot_20210207-102106.jpg
 
Mjapana ana gari bora hata huyo mzungu hagusi baadhi ya brand zake.. sema bei nazo zinakuwa za moto. Cheki Lexus Ls series uone moto wake hata kuna gari za ulaya zina soma namba kwa kila idara pale
Lexus na Toyota ni sawa na mchina anetengeneza bidhaa special for EU na nyingine for Africa.

Huwa na naona makampuni mawili tofauti japo yapo chini ya Toyota.

Hawajiamini.
 
Lexus na Toyota ni sawa na mchina anetengeneza bidhaa special for EU na nyingine for Africa.

Huwa na naona makampuni mawili tofauti japo yapo chini ya Toyota.

Hawajiamini.
Soko halifanani na mazingira pia hayafanani. Ni kama vile Ferrari usivyoweza kulinganisha na BMW . Kila gari ina ubora wake na watumiaji wake
 
Soko halifanani na mazingira pia hayafanani. Ni kama vile Ferrari usivyoweza kulinganisha na BMW . Kila gari ina ubora wake na watumiaji wake
BMW, Audi, Benz wanatengeneza gari aina moja na linauzwa dunia nzima labda iwe special vehicles.

Huwezi kuta wanatengeneza kampuni pembeni ya kutengeneza magari ya kuuza Europe na nyingine ya kuuza magari Africa au Asia kama Nissan na Toyota wanavyofanya.

Japo Lexus na Infinity nayaona ni makampuni pamoja yanamilikiwa na Toyota na Nissan.

Kama VW wanavyomiliki Bugatti.
 
Mbinu za kibiashara zimefanya wawe tofauti. Ulitaka wote wawe na strategy aina moja ya ufanyaji wao wa biashara ?
 
Issue hapa ni gari zinazotoka japan na zinazotoka germany au europe.
Mleta mada anaongelea watanzania na toyota.

Wengine mkaleta story za Lexus. Kwamba toyota ameshindwa pambana na wajerumani pound for pound.

Kwanza baadhi ya hizo gari za japan si mnazikimbia?

Nissan, Mitushishi, Subaru zinamilikiwa na watz wangapi kulinganisha na toyota? Hujaona uzi watu wanajazana uoga kuhusu Nissan Xtrail?
 
Lexus ni Lexus na Toyota ni Toyota.

Hayo ni makampuni mawili tofauti na yana objective tofauti.

Ongelea bidhaa za Toyota na sio za Lexus.
Lexus ni Luxury version ya Toyota...LEXUS inakua na options nyingi zaidi ya zilizopo kwenye Toyota pia hii walitumia kama mbinu ya kuingilia kwenye masoko duniani i.e Europe,America etc...
 
Inaweza kuwa kweli

Hizi gari hapo kenya ni nyingi sana barabarani unakutana nazo mpaka unaweza jiuliza hivi bongo n hela hamna au vipi, na kenya haya magari pendwa ya huku, kule unaweza kutana nayo moja moja sana
Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?

Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.

Kwako CMC,Toyota etc
 
Mbinu za kibiashara zimefanya wawe tofauti. Ulitaka wote wawe na strategy aina moja ya ufanyaji wao wa biashara ?
Your strategy shows how well you believe in your product.

Toyota ni mass production car company. Kwao attention to detail hawana.

Sitaki nikulazimishe uamini katika ninachoamini. Ila experience ya watumiaji hata watanzania wenyewe wanakuambia.

Endesha gari ya mjerumani na mjapani. Utofauti utauona kwenye stability, handling, comfortability. Hata features unaziona kabisa jinsi zilivyo tofauti.
 
Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?

Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.

Kwako CMC,Toyota etc
Kipindi hiki ni lini na saa ngpiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada anaongelea watanzania na toyota.

Wengine mkaleta story za Lexus. Kwamba toyota ameshindwa pambana na wajerumani pound for pound.

Kwanza baadhi ya hizo gari za japan si mnazikimbia?

Nissan, Mitushishi, Subaru zinamilikiwa na watz wangapi kulinganisha na toyota? Hujaona uzi watu wanajazana uoga kuhusu Nissan Xtrail?
Hakuna mtu anae kimbia gari ya mjajapa au za ulaya pamoja na german. Hadi mtu ukiona ameamua kununua gari flani, amengalia mambo mengi, ikiwemo hali yake ua kipato chake, kodi na mengineyo ambayo kwake yana kuwa na uzito katika kufanya chaguzi. Mnapo kuja kusema gari flani, angalia na mwaka wa hiyo gari, unazungumzia Xtrail ya mwaka gani na nani analaumu. Pia huwezi kuwa na gari aina zote kama usivyo weza wewe pia kuwa na gari aina zote za europe mwisho wa siku unakuwa chaguzi
 
Back
Top Bottom