Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Duh mafisadi wakipiga hela sijui hawaonagi madude kama haya wayaweke road kutupa hasira wanyonge?

Mi mwenyewe hii sijaiona bongo kabisa,LS 2013 ndio nimeiona pale St.Petersburg church.
Ya 2012 bei yake imepoa. Huu umeme wa 2019 haushikiki. Mafisadi wengi hawajui class! Hukimbilia LC200 V8 au Nissan Patrol mayai ila huu umeme wa Lexus sio wa mchezo. Dege la chini hili mi ningemiliki ili kujitofautisha na watu wote mjini. Nikitokeza mahali ni ID!
 
Nahisi kachanganya na camry huyo 😂😂😂! Hio LS500 bei yake ni zaidi ya VX V8 nyingi hapa mjini.
Kuna moja ya mwaka 2017, Lexus Ls F sport ni $153,200.. ambayo naona kidogo wajerumani waje mpambanisha na s class... sio hizo taka taka zao zingine.. 😀😀😀
 
Ya 2012 bei yake imepoa. Huu umeme wa 2019 haushikiki. Mafisadi wengi hawajui class! Hukimbilia LC200 V8 au Nissan Patrol mayai ila huu umeme wa Lexus sio wa mchezo. Dege la chini hili mi ningemiliki ili kujitofautisha na watu wote mjini. Nikitokeza mahali ni ID!
Wanakimbilia hayo si bei cheee 😀😀😀. Lexus Ls bei yake sio ya kinyonge 😀😀😀
 
Nimeweka bei ya Lexus Ls, na BMW 7 series na AUDI A8 zote mwaka 2017.. zote hizo zimekatwa gape la hatari 😀😀😀. German wa humu nitaanza waogopa wakianza kumiliki Ferrali au Roli Roizi.. maana kelel zao zote naona ni BMW na Benz na Volks wagen za mwaka 2008 😀😀😀.. ambazo hazina tofauti kuanzia bei na Crown.. ila wajapan wapole sana hawajivuni kabisa 😀😀
Mjerumani hafui dafu sokoni 😂😂😂 bei ya Lexus ni mkasi ndio maana hata Bongo Lexus sio nyingi esp. hizi sedan models.
Nyingi ni Harrier /Lexus RX na zile LX zinazoendana na Land Cruiser! ndio walau zinanunulika
 
Jamaa kaweka uzi mzuri sana...lakini kama kawaida wazee wa Toyota wamekuja na
Toyota vs Germany cars
Siku nyingine mmtupe mjerumani kwa American muscles kama atapumua
1612685704786.png
1612685917571.png

1612685781899.png

1612685976670.png

DODGE X Chevrolet x Ford Mustang X Chrysler
 
Mjerumani hafui dafu sokoni 😂😂😂 bei ya Lexus ni mkasi ndio maana hata Bongo Lexus sio nyingi esp. hizi sedan models.
Nyingi ni Harrier /Lexus RX na zile LX zinazoendana na Land Cruiser!
Ile gari hata ukiangalia hata sehemu za ndani, unaona kabisa imesimama haswaaa.. nahisi ukiingia humo.. dah sipati picha yani 😀😀😀.. hii naona wakuiweka na ligi na kama S class maybach nitawalekewa. Ila wasiivunjie heshima kwa kulinganisha na BMW zao za X5 za mwaka 2000 😃😃
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Ngoja nipite kimya kimya hapa
 
Ile gari hata ukiangalia hata sehemu za ndani, unaona kabisa imesimama haswaaa.. nahisi ukiingia humo.. dah sipati picha yani 😀😀😀.. hii naona wakuiweka na ligi na kama S class maybach nitawalekewa. Ila wasiivunjie heshima kwa kulinganisha na BMW zao za X5 za mwaka 2000 😃😃
Hahahah acha tu mzee, ndio maana mtu anapompondea mjapani huwa nasikitika sana, kuna gari za mjapani na kuna usafiri wa kijapani. Wengi wetu tunamiliki usafiri wa kijapani kundi ambalo wanamiliki gari za mjapani ni wachache mno na hao hawaonekani sababu bei ya magari yao ni balaa. Ila unakuta conclusion ya ride comfort and quality inachukuliwa kwenye low end segement na kuwa generalized ati Toyota ni takataka tu. Holly Ghost!!!

Kundi pinzani la wanaoshabikia ujerumani nao wanavutia kamba kwao. Mjerumani ana gari na usafiri pia sema wabongo wengi wana afford gari za kijerumani kuliko usafiri wa kijerumani ndio maana matambo hayaishi sababu bei na kodi ziko chini 😁😁😁
 
Hahahah acha tu mzee, ndio maana mtu anapompondea mjapani huwa nasikitika sana, kuna gari za mjapani na kuna usafiri wa kijapani. Wengi wetu tunamiliki usafiri wa kijapani kundi ambalo wanamiliki gari za mjapani ni wachache mno na hao hawaonekani sababu bei ya magari yao ni balaa.

Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
 
Hapa umemaliza kila kitu 😀😀😀, hawa wa german wa humu hutokaa uwasikie wanaongelea Porshe, Ferrari, Astorn martin, au bentley, wao wanakomaa na BMW tu ambayo ni gari ya kawaida sanaaaa.. inabidi wajitafakari na majivuno yao.. BMW machalii kibao wanazo yani humu.. ila ukiingia yani, unaona bora urudi kwenye spacio yako.. 😀😀😀
 
Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Hiyo ni strategy ya kibiashara tu mkuu. Lakini sio kwamba BMW ni bora zaidi ya TOYOTA. Hawana tofauti yoyote. Na ukitaka kujua linganisha gari zinazo endana hata kama utakuta yofauti ni ndogo ndogo sana..
 
Ni kweli kuna gari tunaletewa huku Tanzania ukiingia kwenye website ya Toyota hata huzikuti yaani sio official (Noah, brevis, progress, opa, raumu, Ist, Sienta, Porte, Vitz). Ila wametoa na sisi tuishi humo.
 
[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1696540
Hiki ndio kitu pekee mjerumani anaweza mtambia Toyota Japan. Ukiondoa hio speed limiter hio BMW itaachwa uchi mapema sana na Toyota yenye engine sawa na hio.

Ila pia kwa kukabiliana na hili Toyota ana Division inayodeal na Luxury cars za kupambana na hao Europeans makes i.e Lexus ambaye ana extension ya Speed zaidi ya 250KPH
 
Mjapana ana gari bora hata huyo mzungu hagusi baadhi ya brand zake.. sema bei nazo zinakuwa za moto. Cheki Lexus Ls series uone moto wake hata kuna gari za ulaya zina soma namba kwa kila idara pale
Ni kweli mkuu, Lexus ni mashine, hizo ulaya, uarabuni kote wanatumia, zina standard. Huku kwetu Lexus ni chache kwa sababu ya uoga.
 
Back
Top Bottom