Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Your strategy shows how well you believe in your product.

Toyota ni mass production car company. Kwao attention to detail hawana.

Sitaki nikulazimishe uamini katika ninachoamini. Ila experience ya watumiaji hata watanzania wenyewe wanakuambia.

Endesha gari ya mjerumani na mjapani. Utofauti utauona kwenye stability, handling, comfortability. Hata features unaziona kabisa jinsi zilivyo tofauti.
Unazungumzia gari gani ? Maana mie na wewe hatwendi sawa, nazunguzmia japan general. Na wewe unalazimisha Toyota hata pia ukija kwenye toyota. Zipo toyota ambazo zina feature unazotaka ila bei yake nayo ipo juu.
 
Hakuna mtu anae kimbia gari ya mjajapa au za ulaya pamoja na german. Hadi mtu ukiona ameamua kununua gari flani, amengalia mambo mengi, ikiwemo hali yake ua kipato chake, kodi na mengineyo ambayo kwake yana kuwa na uzito katika kufanya chaguzi. Mnapo kuja kusema gari flani, angalia na mwaka wa hiyo gari, unazungumzia Xtrail ya mwaka gani na nani analaumu. Pia huwezi kuwa na gari aina zote kama usivyo weza wewe pia kuwa na gari aina zote za europe mwisho wa siku unakuwa chaguzi
Wazungu wanaendesha hayo ma bmw,benz kwa miaka 3 waranty ikiisha wana upgrade kwenda kwny gari latest,wabongo huku wamekomaa na bmw,benz za 2003 na bado wanavimba huku road wanakwambia Germany machines 😃😃😃😃
 
Acha tu ndugu yangu, mtu ana vimba humu utazani anaendesha BMW M4 ya mwaka 2018 ..
 
Your strategy shows how well you believe in your product.

Toyota ni mass production car company. Kwao attention to detail hawana.

Sitaki nikulazimishe uamini katika ninachoamini. Ila experience ya watumiaji hata watanzania wenyewe wanakuambia.

Endesha gari ya mjerumani na mjapani. Utofauti utauona kwenye stability, handling, comfortability. Hata features unaziona kabisa jinsi zilivyo tofauti.

Inategemea unaendeaha pia gari gani ya mjapan na gari gani ya mjerumani.
 
Hio kitu naikubali kishenzi,nilikua nawaambia watu humu JF hio gari ndio competitor wa Series 7,S-class,Audi A8.

Na bei yake sio ya mchezo,mimi ningeichagua hio LS kuliko hizo gari nyingine hapo juu.
images (1).jpeg

Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu 😁😁😁 sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
 
View attachment 1696580
Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu [emoji16][emoji16][emoji16] sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
Duh mafisadi wakipiga hela sijui hawaonagi madude kama haya wayaweke road kutupa hasira wanyonge?

Mi mwenyewe hii sijaiona bongo kabisa,LS 2013 ndio nimeiona pale St.Petersburg church.
 
Watu wenyewe humu wanaleta kelele tu, unakuta ana BMW X3 ua X5 ila anatukana wenzake ... na wakati hizi zote ni gari za kawaida tu. Ila watu hawajapenda kuzinunua. Mtu ane miliki majesta hawezi shindi nunua hizo taka taka na kuzi hudumia ila basi tu, wajapan hawapendi shobo [emoji3][emoji3]
X3/X5?Tuko tunakomaa na 320i na c-180 za mwaka 2002 huko.
 
Wanakanda mbaya wakati bei ya hii gari ni balaa ni zaidi hata ya BMW kwenye used cars market
Nimeweka bei ya Lexus Ls, na BMW 7 series na AUDI A8 zote mwaka 2017.. zote hizo zimekatwa gape la hatari 😀😀😀. German wa humu nitaanza waogopa wakianza kumiliki Ferrali au Roli Roizi.. maana kelel zao zote naona ni BMW na Benz na Volks wagen za mwaka 2008 😀😀😀.. ambazo hazina tofauti kuanzia bei na Crown.. ila wajapan wapole sana hawajivuni kabisa 😀😀
 
Back
Top Bottom