Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?Your strategy shows how well you believe in your product.
Toyota ni mass production car company. Kwao attention to detail hawana.
Sitaki nikulazimishe uamini katika ninachoamini. Ila experience ya watumiaji hata watanzania wenyewe wanakuambia.
Endesha gari ya mjerumani na mjapani. Utofauti utauona kwenye stability, handling, comfortability. Hata features unaziona kabisa jinsi zilivyo tofauti.
Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!
Unaijua Toyota Celsior?