Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Your strategy shows how well you believe in your product.

Toyota ni mass production car company. Kwao attention to detail hawana.

Sitaki nikulazimishe uamini katika ninachoamini. Ila experience ya watumiaji hata watanzania wenyewe wanakuambia.

Endesha gari ya mjerumani na mjapani. Utofauti utauona kwenye stability, handling, comfortability. Hata features unaziona kabisa jinsi zilivyo tofauti.
Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?

Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!

Unaijua Toyota Celsior?
 
Ni kweli kuna gari tunaletewa huku Tanzania ukiingia kwenye website ya Toyota hata huzikuti yaani sio official (Noah, brevis, progress, opa, raumu, Ist, Sienta, Porte, Vitz). Ila wametoa na sisi tuishi humo.
Wanajua hali za kiuchumi kwa ukanda wetu huu. Wakileta vyuma vyenyewe wachache wana aford. Ila wana vyuma haswaaa ukikaa ndani unaona kweli umekaa kwenye gari
 
Jamaa mwenye hizi thread anaijua crown au anaisikia. Akaangalia crown athlete ya 2010 ni bei gani na bmw series 5 ya the same year ni bei gani. Crown inauzwa bei ghali kuliko bmw. Na ina sensors za kutosha
Mkuu mendex crown ni mashine sipingani na wewe, lakini hizi crown za bongo hata hazishtui.
 
Ni kweli mkuu, Lexus ni mashine, hizo ulaya, uarabuni kote wanatumia, zina standard. Huku kwetu Lexus ni chache kwa sababu ya uoga.
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.




1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg


2021-Tundra-1-copy.jpg


USC90JES052F021001.jpg


hivi unafikiri nani hapendi vitu vizuri?
Kuna mtu hapendi kuishi kwenye nyumba nzuri, Kuna mtu hapendi watoto wake wasome shule nzuri, kuna mtu hapendi kuendesha gari zuri? nk

Ukisha maliza masomo ukakaa mtaani kwa miaka miwili tu uje tena hapa utupe mrejesho kama Vitz ni gari la kishamba au ni one of the Best car in town
Kua uyaone!!!
H
 
Hiki ndio kitu pekee mjerumani anaweza mtambia Toyota Japan. Ukiondoa hio speed limiter hio BMW itaachwa uchi mapema sana na Toyota yenye engine sawa na hio.

Ila pia kwa kukabiliana na hili Toyota ana Division inayodeal na Luxury cars za kupambana na hao Europeans makes i.e Lexus ambaye ana extension ya Speed zaidi ya 250KPH
Wanajivuna na dashboard 😀😀😀... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
 
Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?

Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!

Unaijua Toyota Celsior?
Mtu analinganisha Carina Ti na BMW X5 . Alafu anakuja tukana Toyota zote.. ni sawa na mie nikaendesha ki mini bmw alafu nilinganishe na Crown Royalsaloon 😀😀😀
 
Wanajua hali za kiuchumi kwa ukanda wetu huu. Wakileta vyuma vyenyewe wachache wana aford. Ila wana vyuma haswaaa ukikaa ndani unaona kweli umekaa kwenye gari
Sasa watz wenzangu hasa hapa JF wanachukua gari iliyopo kwenye Homepage kabisa ya BMW / AUDI /VW halafu wanapambanisha na gari ambayo TOYOTA hawajaiweka hata kwenye website yao yaani hata ukisearch hakuna viashiria kama wanatengeneza hiyo gari . Ndio wanazishindanishaa 😆 😆 😆
 
Lexus ni Lexus na Toyota ni Toyota.

Hayo ni makampuni mawili tofauti na yana objective tofauti.

Ongelea bidhaa za Toyota na sio za Lexus.
Sio makampuni tofauti bro, Lexus ni division tu! Ni sawa uwe na kiwanda chako uzalishe bidhaa ya kuuza mkoa mzima halafu uwe na nyingine classic zaidi ya kuuza Oysterbay, Masaki, Mbezi na Mikocheni tu!

Ndio alichokifanya Toyota na kiwanda ni hiko hiko kimoja.
 
Sasa watz wenzangu hasa hapa JF wanachukua gari iliyopo kwenye Homepage kabisa ya BMW / AUDI /VW halafu wanapambanisha na gari ambayo TOYOTA hawajaiweka hata kwenye website yao yaani hata ukisearch hakuna viashiria kama wanatengeneza hiyo gari . Ndio wanazishindanishaa 😆 😆 😆
Na wajerumani wa Jf ukitoa chombo kule kama Toyota Tundra wana kukatalia wanasema hiyo ni ya usa 😀😀😀.. kama ni toleo la usa imebadilika na kuwa brand ingine 😀😀😀 wanachekeshaga sana hawa wajerumani wetu.. ila tuishi nao tu
 
Mtu analinganisha Carina Ti na BMW X5 . Alafu anakuja tukana Toyota zote.. ni sawa na mie nikaendesha ki mini bmw alafu nilinganishe na Crown Royalsaloon 😀😀😀
Unaskia haiko stable barabarani, sasa gari ina shockup za bei rahisi itakuwaje sawa na gari yenye air-suspension? 😁😁😁

Hapa ndipo tunapopishana uchambuzi!
 
Back
Top Bottom