Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg

Mnyama wa ukweli sana
IMG_0897.jpg

Hizi ndio ndinga sasa
 
Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?

Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.

Kwako CMC,Toyota etc
Sie huku shida ni TRA . 😀😀😀. Kodi ni sawa na kununua gari mbili
 
Toleo la Toyota 2020 December
Toyota Mirai - Hii kuja kuingia Dodoma ni 2050 au isifike kabisa, TOYOTA kwenye Auto Industry ni mpana sana na wapinzani wake wakubwa ni Ford, Volkswagen, Hyundai, General Motors, na Nissan kwa mujibu wa mtandao wa What Competitors - . Hao akina BMW/AUDI/ BENZ wana mengi yakuifunza kutoka TOYOTA
1612689278384.png

1612689649315.png
1612689673142.png

1612689312249.png
 
Toleo la Toyota 2020 December
Toyota Mirai - Hii kuja kuingia Dodoma ni 2050 au isifike kabisa, TOYOTA kwenye Auto Industry ni mpana sana na wapinzani wake wakubwa ni Ford, Volkswagen, Hyundai, General Motors, na Nissan kwa mujibu wa mtandao wa What Competitors - . Hao akina BMW/AUDI/ BENZ wana mengi yakuifunza kutoka TOYOTA
View attachment 1696639
View attachment 1696644View attachment 1696645

View attachment 1696641
Hii technolojia anayao Toyota pekee, kama akifanikiwa kuisambaza vyema ulimwenguni atakuwa na hela kama Elon Musk! Wakiua biashara ya mafuta by 2030 gari zitakazobaki ni hii ya Hydrogen fuel na za umeme tu!
 
Kwa mazingira ya tz Bora ununue Toyota ,kununua toyota haimaanishi kwamba hauna pesa Bali tunaangalia urahisi wa spare parts.
Kuna kipindi nilikuwa natoka namtumbo naenda dar kuna BMW niliona imeharibika ipo pembezoni mwa barabara nilipatwa na hisia Kali mno nikajisemea moyoni huyu mpaka ampate fundi +spare hii gari itakaa porini zaidi ya wiki,au aombe msaada livutwe na roli la mizigo.
Kuna magari ni mtihani kweli kweli
 
Yah ni mengi ya kuzingatia mkuu, kuna watu ambao wao usumbufu ni sehemu katika maisha yao ya hapa duniani 😝 tuwachukulie kwa haki tu kuwa wana uhuru japo kwa mwenye akili ataona ni upumbavu!

Why should i buy a problematic car while there are a lot of great choices out there!
 
Back
Top Bottom