Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Hahahah umeme huo umo Nissan uchawi aliotumiaga mpaka sasa haujulikani ๐Ÿ˜
Najua hata wazungu wanazitamani sana 2JZ-GTE, na zingekuwa ni engine zao pasingekalika humu kwa povu zao ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila mjepu kaona sio case, kasitisha uzalishaji kama na mawe mengine ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Sio gari tu hata mademu
1. Awe anapatikana muda wote
2. Asiwe na tumbo kubwa
3.Awe na kalio
4. Awe na sura nzuri
5. Awe hapendi kuombaomba hela(fuel consumption)
6. Awe mcha MUNGU
7. Awe amesoma
8. Awe anajua kupika
9................
10............
But all in all mipango sio matumizi hakuna anaezuia mwenzake kutaka anachokipenda best issue hujavunja sheria za Nchi.
 
Yah ni mengi ya kuzingatia mkuu, kuna watu ambao wao usumbufu ni sehemu katika maisha yao ya hapa duniani ๐Ÿ˜ tuwachukulie kwa haki tu kuwa wana uhuru japo kwa mwenye akili ataona ni upumbavu!

Why should i buy a problematic car while there are a lot of great choices out there!
Spare za toyota zile Og kabisa, bei zake zipo juu tu. Ila kama fekelo bei chee.. pia toyota spare zipo nyingi kwasababu gari zake ni nyingi, zikichoka watu wana chinja.. ila kama unataka spare og kabisisa za toyota zimeamka bei
 
hivi unafikiri nani hapendi viti vizuri?
Kuna mtu hapendi kuishi kwenye nyumba nzuri, Kuna mtu hapendi watoto wake wasome shule nzuri, kuna mtu hapendi kuendesha gari zuri? nk

Ukisha maliza masomo ukakaa mtaani kwa miaka miwili tu uje tena hapa utupe mrejesho kama Vitz ni gari la kishamba au ni one of the Best car in town
Kua uyaone!!!
H
Mkuu tukiweka mambo yote pembeni vitz sio gari nzuri kabisa...
 
US sio mchezo, kuna video moja niliona muscle moja nadhani ni dodge challenger, jamaa alikimbia helicopter haikuona kitu.
Nikasikia mtangazaji anasema "I think this is one of the first time where the vehicle is actually outrun the chopper

Utakuta ni V12 hilo dubwana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila with 710 horses si mchezo
 
Hii technolojia anayao Toyota pekee, kama akifanikiwa kuisambaza vyema ulimwenguni atakuwa na hela kama Elon Musk! Wakiua biashara ya mafuta by 2030 gari zitakazobaki ni hii ya Hydrogen fuel na za umeme tu!
Wajeruman wa Jf wakisoma hii, wanajificha chini ya uvungu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
 
hivi unafikiri nani hapendi viti vizuri?
Kuna mtu hapendi kuishi kwenye nyumba nzuri, Kuna mtu hapendi watoto wake wasome shule nzuri, kuna mtu hapendi kuendesha gari zuri? nk

Ukisha maliza masomo ukakaa mtaani kwa miaka miwili tu uje tena hapa utupe mrejesho kama Vitz ni gari la kishamba au ni one of the Best car in town
Kua uyaone!!!
H
Mkuu samahani sana kama nimekosa, najua nimegusa gari yako pendwa.
 
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
Na gari nzuri zote zenye mbwembwe lazma zile mafuta sababu zinakuwaga nzito hivyo zinapewa engine kubwa sababu ya perfomance!
 
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
Kuna majini, hizi zinazoletwa kwetu ni rafiki kabisa kwa mazingira yetu. Tulivyowapenda mitelezo BREVIS nae kaingizwa kwenye kundi la majini ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
 
NJIA PEKEE SAHIHI YA KUKABILIANA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAGARI CHAKAVU.

Wakati ambapo mataifa makubwa ulimwenguni yanaendelea kupigana vita ya kiuchumi kuhakikisha Dunia nzima inawaimba na kuwahusudu kwa kuwa vinara wa utandawazi, ndio wakati ambao pia watu ulimwenguni wanaendelea kuteseka kila kukicha kutokana na madhara yatokanayo na uharibifu wa Mazingira/hali Ya hewa.

Dunia inashudia kuwepo kwa kasi kubwa ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Ukame, magonjwa na kila aina ya madhira yatokanayo na shughuli za kibinaadamu katika uso wa dunia yamekuwa ndio matunda pekee walimwengu wanayo faidi.

Kumekuwa na kampeni nyingi mtaani na ulimwenguni za kuhamasisha upandaji wa miti ili kurejesha uoto wa asili katika uso wa Dania, ndio, ni njia mojawapo nyepesi kabisa hasa kwa raia wa mataifa ya ukanda wa jangwa la Sahara ya kukabikiana na tatizo hili.

Lakini, Wakati juhudi zote zenye kufanana na hizo zikiendelea kuchukuliwa ni wakati sasa kwa serikali zetu kuanza kujitathimini na kuchukua hatua za kukabiliana na uharibifu huu kwa kuweka mipango elekezi ya kushughulikia matumizi ya magari 'chakavu' barabarani kwani kwa kiwango kikubwa huchangia uharibifu wa Mazingira.

Nafarijika sana na juhudi za serikali ya India 'Delhi' kwa kuwa mfano wa Dunia katika makabiliano dhidi ya madhira ya mabadiliko ya tabianchi #ClimateChange naamini India wameanza leo kesho ni Africa, keshokutwa ni Tanzania.

o24s3u.jpg
 
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
Kwa hiyo pesa unapata BWM X5 mbili, na chenji inabaki.. na kama Crown matata, hapo unapata mbili, kwa IST unafungua Showroom ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
NJIA PEKEE SAHIHI YA KUKABILIANA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAGARI CHAKAVU.

Wakati ambapo mataifa makubwa ulimwenguni yanaendelea kupigana vita ya kiuchumi kuhakikisha Dunia nzima inawaimba na kuwahusudu kwa kuwa vinara wa utandawazi, ndio wakati ambao pia watu ulimwenguni wanaendelea kuteseka kila kukicha kutokana na madhara yatokanayo na uharibifu wa Mazingira/hali Ya hewa.

Dunia inashudia kuwepo kwa kasi kubwa ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Ukame, magonjwa na kila aina ya madhira yatokanayo na shughuli za kibinaadamu katika uso wa dunia yamekuwa ndio matunda pekee walimwengu wanayo faidi.

Kumekuwa na kampeni nyingi mtaani na ulimwenguni za kuhamasisha upandaji wa miti ili kurejesha uoto wa asili katika uso wa Dania, ndio, ni njia mojawapo nyepesi kabisa hasa kwa raia wa mataifa ya ukanda wa jangwa la Sahara ya kukabikiana na tatizo hili.

Lakini, Wakati juhudi zote zenye kufanana na hizo zikiendelea kuchukuliwa ni wakati sasa kwa serikali zetu kuanza kujitathimini na kuchukua hatua za kukabiliana na uharibifu huu kwa kuweka mipango elekezi ya kushughulikia matumizi ya magari 'chakavu' barabarani kwani kwa kiwango kikubwa huchangia uharibifu wa Mazingira.

Nafarijika sana na juhudi za serikali ya India 'Delhi' kwa kuwa mfano wa Dunia katika makabiliano dhidi ya madhira ya mabadiliko ya tabianchi #ClimateChange naamini India wameanza leo kesho ni Africa, keshokutwa ni Tanzania.

View attachment 1696650
Wakati India wanahamia katika umeme huku sie ndio tunatafuta explorers waje kuchimba mafuta ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ by 2030 ICE zitakuwa phased out na gari zote ulaya zinatazamiwa kuwa za umeme tu!
 
NJIA PEKEE SAHIHI YA KUKABILIANA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAGARI CHAKAVU.

Wakati ambapo mataifa makubwa ulimwenguni yanaendelea kupigana vita ya kiuchumi kuhakikisha Dunia nzima inawaimba na kuwahusudu kwa kuwa vinara wa utandawazi, ndio wakati ambao pia watu ulimwenguni wanaendelea kuteseka kila kukicha kutokana na madhara yatokanayo na uharibifu wa Mazingira/hali Ya hewa.

Dunia inashudia kuwepo kwa kasi kubwa ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Ukame, magonjwa na kila aina ya madhira yatokanayo na shughuli za kibinaadamu katika uso wa dunia yamekuwa ndio matunda pekee walimwengu wanayo faidi.

Kumekuwa na kampeni nyingi mtaani na ulimwenguni za kuhamasisha upandaji wa miti ili kurejesha uoto wa asili katika uso wa Dania, ndio, ni njia mojawapo nyepesi kabisa hasa kwa raia wa mataifa ya ukanda wa jangwa la Sahara ya kukabikiana na tatizo hili.

Lakini, Wakati juhudi zote zenye kufanana na hizo zikiendelea kuchukuliwa ni wakati sasa kwa serikali zetu kuanza kujitathimini na kuchukua hatua za kukabiliana na uharibifu huu kwa kuweka mipango elekezi ya kushughulikia matumizi ya magari 'chakavu' barabarani kwani kwa kiwango kikubwa huchangia uharibifu wa Mazingira.

Nafarijika sana na juhudi za serikali ya India 'Delhi' kwa kuwa mfano wa Dunia katika makabiliano dhidi ya madhira ya mabadiliko ya tabianchi #ClimateChange naamini India wameanza leo kesho ni Africa, keshokutwa ni Tanzania.

View attachment 1696650

Naomba uweke sifa mbili tu ZA KIUFUNDI zinazotakiwa zitumike kuamua kuwa hili gari sasa ni chakavu...
 
Hiki ndio kitu pekee mjerumani anaweza mtambia Toyota Japan. Ukiondoa hio speed limiter hio BMW itaachwa uchi mapema sana na Toyota yenye engine sawa na hio.

Ila pia kwa kukabiliana na hili Toyota ana Division inayodeal na Luxury cars za kupambana na hao Europeans makes i.e Lexus ambaye ana extension ya Speed zaidi ya 250KPH
Vipi kuhusu uimara?Tayota anaweza kumfikia BMW kwa uimara?
 
Back
Top Bottom