Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Eeh labda yatoke mafuta ya kuendeshea ndege tu πππAhahahaaaaa, tutakunywa mafuta yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh labda yatoke mafuta ya kuendeshea ndege tu πππAhahahaaaaa, tutakunywa mafuta yetu
Vizuri tuVipi kuhusu uimara?Tayota anaweza kumfikia BMW kwa uimara?
Sio kumfikia tu anamuacha mbali sana π!!! Tena usije ukaongea hiki kitu mbele ya Car Enthusiast yeyote..utachekwa!Vipi kuhusu uimara?Tayota anaweza kumfikia BMW kwa uimara?
Acha kabisa, hio wazungu wanasema Big Mexican Woman, yaani toto flani hivi la kilatino, nikisema latina nimeeleweka mkuuMnyama wa ukweli sanaView attachment 1696642
Hizi ndio ndinga sasa
Kwenye ranks kwa mujibu wa mtandao wa Carwow.uk!Vizuri tu
Kiongozi, mimi similiki hiyo Vitz ila nawaheshimu wenzangu wanao endesha hizo najua wakati wao utafika wapande na kuendesha Ndinga kaliMkuu samahani sana kama nimekosa, najua nimegusa gari yako pendwa.
Hilo linawezekana kwa Toyota tu! Usijaribu kwa mjerumani maana dashboard itapendeza kabla ya yesu hajazaliwa upya disemba 25!Watanzania tunataka gari ambayo oil ikichakaa tunaweka oil nyingine iliyochakaa kutoka gari lingine kwa bei nafuu.
Explore The Lexus LS 500h Price and Specification | Lexus UKView attachment 1696580
Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu πππ sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
Sio gari tu hata mademu
1. Awe anapatikana muda wote
2. Asiwe na tumbo kubwa
3.Awe na kalio
4. Awe na sura nzuri
5. Awe hapendi kuombaomba hela(fuel consumption)
6. Awe mcha MUNGU
7. Awe amesoma
8. Awe anajua kupika
9................
10............
But all in all mipango sio matumizi hakuna anaezuia mwenzake kutaka anachokipenda best issue hujavunja sheria za Nchi.
KabisaUtakuta ni V12 hilo dubwanaπππ ila with 710 horses si mchezo
Hahahaha hivi mi najiuliza haiwezekani kuunda gari lenye engine mbili za pikipiki hata ile ya boxer ili kuwaokoa wabongo π na adha ya kwenda sheli! Ina maana liwe na gearbox automatic gear 5 but yenye reverse gear tu lakini.Tena mimi mkuu hizo ndizo nazitaka, ukiona huwezi kuhudumia gari kama Nissan Fuga basi jua uchumi wako haukuruhusu kumiliki gari, nunua boxer 125cc.
Vitz ni kama BMW mini cooper, iliyo pooza tu. ππMkuu tukiweka mambo yote pembeni vitz sio gari nzuri kabisa...
Wajerumani wa Jf watapinga hili.Dunia hii ni sehemu ipi TOYOTA hakubaliki????? 25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020 Kutoka makampuni makubwa yote ya magari katika gari 25 zilizoshindanishwa na kuingia top 25 TOTOTA kaingiza gari sita na Japan kwa ujumla π―π΅ kaingiza gari 14. karibia 50+% ya soko la magari kaliteka Mjapan na Mjerumani π©πͺ sijamuona hata kwa gari moja.
1. Ford F-Series (787,422 units sold)
2. Chevrolet Silverado (586,675 units sold)
3. Ram Pickup (563,676 units sold)
4. Toyota RAV4 (430,387 units sold) π―π΅
5. Honda CR-V (333,502 units sold)π―π΅
6. Toyota Camry (294,348 units sold)π―π΅
7. Chevrolet Equinox (270,994 units sold)
8. Honda Civic (261,225 units sold)π―π΅
9. GMC Sierra (253,016 units sold)
10. Toyota Tacoma (238,806 units sold)π―π΅
11. Toyota Corolla (237,178 units sold)π―π΅
12. Nissan Rogue (227,935 units sold)π―π΅
13. Ford Explorer (226,217 units sold)
14. Toyota Highlander (212,276 units sold)π―π΅
15. Jeep Grand Cherokee (209,786 units sold)
16. Jeep Wrangler (201,311 units sold)
17. Honda Accord (199,458 units sold)π―π΅
18. Ford Escape (178,496 units sold)
19. Subaru Forester (176,996 units sold)π―π΅
20. Subaru Outback (153,294 units sold)π―π΅
21. Mazda CX-5 (146,420 units sold)π―π΅
22. Nissan Altima (137,988 units sold)π―π΅
23. Jeep Cherokee (135,855 units sold)
24. Ford Transit (131,556 units sold)
25. Toyota 4Runner (129,052 units sold)π―π΅
View attachment 1696661
Wangapi wanaendesha Toyota Brand New Tz ukiacha serikali?Acha tu ndugu yangu, mtu ana vimba humu utazani anaendesha BMW M4 ya mwaka 2018 ..
Kuna makampuni mengi yanauza magari 0km hapa Tanzania sidhani yapo kufanya biashara na serikali tu.Wangapi wanaendesha Toyota Brand New Tz ukiacha serikali?
Mkuu kuna hii gari nimeiona kwenye beforward wanadai ni VITZ RS TRD, inaonekana zinatembea, nimejaribu kuangalia youtube naona zipo vizuri.Hahahaha hivi mi najiuliza haiwezekani kuunda gari lenye engine mbili za pikipiki hata ile ya boxer ili kuwaokoa wabongo π na adha ya kwenda sheli! Ina maana liwe na gearbox automatic gear 5 but yenye reverse gear tu lakini.