Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Huyo mtu anasifia gari ambayo hawezi hata kumiliki miaka 20 ijayo.Sasa watz wenzangu hasa hapa JF wanachukua gari iliyopo kwenye Homepage kabisa ya BMW / AUDI /VW halafu wanapambanisha na gari ambayo TOYOTA hawajaiweka hata kwenye website yao yaani hata ukisearch hakuna viashiria kama wanatengeneza hiyo gari . Ndio wanazishindanishaa [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Bora wale wanaomiliki german cars za miaka 20 iliopita wana enjoy kidogo.
Njoo kwa hao Lexus fan boys ambao wanaendesha Sienta au Raum ya 2003 huku wanaiponda C class ya 2003.
Kwenye stability hawapo, handling ndo hakuna kabisa, comfort wanaishia isikia kwingine.