Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Sina idadi kamili, ila wapo na ni wachache sana. Vipi huko kwenu BMW wajerumaniWangapi wanaendesha Toyota Brand New Tz ukiacha serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina idadi kamili, ila wapo na ni wachache sana. Vipi huko kwenu BMW wajerumaniWangapi wanaendesha Toyota Brand New Tz ukiacha serikali?
Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?Nimeweka bei ya Lexus Ls, na BMW 7 series na AUDI A8 zote mwaka 2017.. zote hizo zimekatwa gape la hatari [emoji3][emoji3][emoji3]. German wa humu nitaanza waogopa wakianza kumiliki Ferrali au Roli Roizi.. maana kelel zao zote naona ni BMW na Benz na Volks wagen za mwaka 2008 [emoji3][emoji3][emoji3].. ambazo hazina tofauti kuanzia bei na Crown.. ila wajapan wapole sana hawajivuni kabisa [emoji3][emoji3]
Mkuu kuna hii gari nimeiona kwenye beforward wanadai ni VITZ RS TRD, inaonekana zinatembea, nimejaribu kuangalia youtube naona zipo vizuri.
View attachment 1696671
Halafu bei ni nafuu, lakini injini naona ni 1NZ.
View attachment 1696675
Nimezileta hapa na wenzetu wanaopenda gari zinakimbia, kula mafuta kidogo, bei poa, rahisi kutengeneza n.k.
Nadhani kuna wadau humu watazielewa
Cheki chini inavyo amsha popo halafu ngoma ni manual.
Ukikutana na crown anachukulia poa, mpaka pale utakampo msomesha plate number ndio ajue .....
Mapank Bavaria Holy Man Torque vs HP na wengineo
Wazungu wenyewe wanakimbilia TOYOTA, na ndio wengi kuliko hata sisi weusi. kwanini hawanunui magari yao?Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?
Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?
Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?
Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
Na mlio wa exaust utakuwa wa vigelegele na nderemo.Hilo linawezekana kwa Toyota tu! Usijaribu kwa mjerumani maana dashboard itapendeza kabla ya yesu hajazaliwa upya disemba 25!
Hiyo nakupa kabisa Toyota century tena ya mwaka 1997 😀😀😀 kwa hiyo C 2003Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?
Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?
Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?
Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
Hivi Toyota wameshaacha kuuza spare kwa mafungu?Watu wenyewe humu wanaleta kelele tu, unakuta ana BMW X3 ua X5 ila anatukana wenzake ... na wakati hizi zote ni gari za kawaida tu. Ila watu hawajapenda kuzinunua. Mtu ane miliki majesta hawezi shindi nunua hizo taka taka na kuzi hudumia ila basi tu, wajapan hawapendi shobo 😀😀
Ukiingia website ya Toyota, high end Toyota Car ni LC200 VX V8 & variants i guess. Ambayo nimeshapanda na kuendesha kidogo sana.Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?
Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!
Unaijua Toyota Celsior?
TOYOTA ni gari latu wote, wamafungu tumekumbukwa pia, Level za juu nao wana sehemu yao TOYOTAHivi Toyota wameshaacha kuuza spare kwa mafungu?
Nenda ilala wanapo chinja magari.. utapataHivi Toyota wameshaacha kuuza spare kwa mafungu?
Ukiamua kupaki gari laTOYOTA kisa spare ni uliamua kuvamia TOYOTA za watu wazito.Nenda ilala wanapo chinja magari.. utapata
Sasa hii list si ametengeneza mtu tuu...Yani uiweke Toyota 4 Runner ligi moja na hizo Subaru Forester na Outback kweli....Dunia hii ni sehemu ipi TOYOTA hakubaliki????? 25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020 Kutoka makampuni makubwa yote ya magari katika gari 25 zilizoshindanishwa na kuingia top 25 TOTOTA kaingiza gari sita na Japan kwa ujumla 🇯🇵 kaingiza gari 14. karibia 50+% ya soko la magari kaliteka Mjapan na Mjerumani 🇩🇪 sijamuona hata kwa gari moja.
1. Ford F-Series (787,422 units sold)
2. Chevrolet Silverado (586,675 units sold)
3. Ram Pickup (563,676 units sold)
4. Toyota RAV4 (430,387 units sold) 🇯🇵
5. Honda CR-V (333,502 units sold)🇯🇵
6. Toyota Camry (294,348 units sold)🇯🇵
7. Chevrolet Equinox (270,994 units sold)
8. Honda Civic (261,225 units sold)🇯🇵
9. GMC Sierra (253,016 units sold)
10. Toyota Tacoma (238,806 units sold)🇯🇵
11. Toyota Corolla (237,178 units sold)🇯🇵
12. Nissan Rogue (227,935 units sold)🇯🇵
13. Ford Explorer (226,217 units sold)
14. Toyota Highlander (212,276 units sold)🇯🇵
15. Jeep Grand Cherokee (209,786 units sold)
16. Jeep Wrangler (201,311 units sold)
17. Honda Accord (199,458 units sold)🇯🇵
18. Ford Escape (178,496 units sold)
19. Subaru Forester (176,996 units sold)🇯🇵
20. Subaru Outback (153,294 units sold)🇯🇵
21. Mazda CX-5 (146,420 units sold)🇯🇵
22. Nissan Altima (137,988 units sold)🇯🇵
23. Jeep Cherokee (135,855 units sold)
24. Ford Transit (131,556 units sold)
25. Toyota 4Runner (129,052 units sold)🇯🇵
Tuache kumlinganisha Mjapani na vitu vya kijinga, Wabongo wenzangu mpo sawa kabisa TOYOTA ndio ndugu yetu wa damu kabisaaa
View attachment 1696661
Kuna powerful engines zinakuja stock tena made by hand na hiko ki-engine kako kinatengenezwa na series of robots.Wanajivuna na dashboard [emoji3][emoji3][emoji3]... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
Ilala magari wanachinja sehemu gani mkuu?Nenda ilala wanapo chinja magari.. utapata
😀😀😀😀.. kuna watu wameunua baadhi ya gari za toyota wanalia lia tu nao.. mala spare mala wese .Ukiamua kupaki gari laTOYOTA kisa spare ni uliamua kuvamia TOYOTA za watu wazito.
Wewe umelewa Lexus iliwekwa maalumu for expensive brand out of Toyota. Ni marketing strategies tuu maana watu wote wanajua Toyota has cheap car. So wakatengeneza brand iitwe Lexus for expensive car. Brand zote za Toyota zipo Lexus na same material tuu.Lexus ni Lexus na Toyota ni Toyota.
Hayo ni makampuni mawili tofauti na yana objective tofauti.
Ongelea bidhaa za Toyota na sio za Lexus.
Soko, demand ndio imahamuaSasa hii list si ametengeneza mtu tuu...Yani uiweke Toyota 4 Runner ligi moja na hizo Subaru Forester na Outback kweli....
Gari ya mzungu[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1696540
Spare ya gari inauzwa buku tano...Nenda ilala wanapo chinja magari.. utapata
Hiyo engine ya 2JZ-GTE kutokana na mkataba ndio maana waliiminya kuachia nguvu yote na hiyo ilitokana mkataba. Wazungu wana fitina sana 😀😀😀Kuna powerful engines zinakuja stock tena made by hand na hiko ki-engine kako kinatengenezwa na series of robots.
Hiko ki-engine kako hakina u-special wowote, hp na torque kimepitwa mbali sana.