Mtalinganisha sijui Mjapani na Mjerumani mpaka mtabonyea , lakini ukweli mnajua moyoni kwamba Gari za Ulaya na za Mjapan ,kwa maana mnaona wenye nazo Garage zao huwa Gari za kutoka wapi zinapaki. Tunaona mabilionea na watu maarufu Duniani kote ni Gari gani wanazotamba nazo, sijawahi kuona Toyota mimi kwa hawa watu.. ukiendesha Gari ya mjerumani sidhani Kama utawaza kuendesha Gari ya mjapan tena. Ni wachache mno walioweza kuchomoka kwenye hilo, hila naamini wengi walio kwenye Toyota wanatamani kukalia kiti cha Mjerumani.. Kama unabisha hilo jaribu uone . Kaa kwenye Crown ya mwaka 2010 halafu kaa kwenye bmw ya mwaka 2004 tuu leta mrejesho , Wazungu awakosei jamani..