Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mwingereza hana kitu Sasa hivi Land Rover kitambo tuu imechukuliwa na TATA ya India, RR Imechukuliwa na BMW sasa sijui kuna nini huko Uingereza labda Bentley na sina uhakika kama ajauza shea yake Germany.
VW kanunua Hisa kampuni nyingi za magari Ulaya itakuwa kaisha walamba
 
Unazo waona nazo wabongo zipo katika level ya uchumi wao. Kilicho juu ya uchumi wao hawakiwezi. Kabla ya kununua gari lazima uchuje vitu vingi. Kuna Vitz zina bei sawa na BMW wanazomiliki machalii hapa bongo.. ila mtu anachukua zake tu Vitz anatulia, sio kwamba asingeweza nunua BMW ila mahesabu yake yamekataa.. kuiga kunya kwa tembo wengine hawataki
Ni kwamba hawezi ku-mantain hizo bmw interms of spares, ufundi.

Ride quality ya vitz ni nzuri kuliko hizo bmw? Handling? Stability?

Tuacheni sizitaki mbivu hizi.

Anaenunua vitz angekuwa na kipato kizuri hawezi nunua hiyo gari kamwe.
 
Mwingereza hana kitu Sasa hivi Land Rover kitambo tuu imechukuliwa na TATA ya India, RR Imechukuliwa na BMW sasa sijui kuna nini huko Uingereza labda Bentley na sina uhakika kama ajauza shea yake Germany.
Tutawapa mtaliano basi, muingereza ushaleta zengwe au tuwape USA ( KWA BIDEN ) ?
 
Ni kwamba hawezi ku-mantain hizo bmw interms of spares, ufundi.

Ride quality ya vitz ni nzuri kuliko hizo bmw? Handling? Stability?

Tuacheni sizitaki mbivu hizi.

Anaenunua vitz angekuwa na kipato kizuri hawezi nunua hiyo gari kamwe.
Mwisho wa siku ni uchumi, na kuna watu wana pesa chafu kuliko wemye BMW na kwenye parking zao hukuti hizo BMW. Swala kubwa hapa ni uchumi na selection ya mtu. Mfano mie hapa malaa paap na mpunga mrefu kwenye parking yangu utakuna Lexus Ls 500h, utakuna Lexus Lx, utakuna Nissan Y62, Nissan Armada, na utakuta nissan fuga, na utakua Crown majesta hybrid na utakuta Astornmartin pamoja na bentley.. ila shida shekeli mkuu
 
Zina category:
LS 500

LS 500h

LS 500 F Sport
Na 400, 430, 460 na 600.
Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?

Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.

Kwako CMC,Toyota etc
Nairobi hadi kuna dealership ya Volvo!!
 
Mwisho wa siku ni uchumi, na kuna watu wana pesa chafu kuliko wemye BMW na kwenye parking zao hukuti hizo BMW. Swala kubwa hapa ni uchumi na selection ya mtu. Mfano mie hapa malaa paap na mpunga mrefu kwenye parking yangu utakuna Lexus Ls 500h, utakuna Lexus Lx, utakuna Nissan Y62, Nissan Armada, na utakuta nissan fuga, na utakua Crown majesta hybrid na utakuta Astornmartin pamoja na bentley.. ila shida shekeli mkuu
Ila usiseme kwamba hizi Toyota zinazoendeshwa na 90% ya wabongo ni bora kuliko bmw au benz.
 
Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?

Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.

Kwako CMC,Toyota etc
Na spare ni mingi tena genuine, kuna mtaa nilienda kutafuta taa ya VW Golf location ya duka ni kama kwa mtu unaingia lakin mali iliyoko ndani ni mingi hakuna bidhaa yeyote na VW ulizie uwambiwe hakuna
 
Sawa. Hakuna neno.

Twende pound for pound.

Tufanye, Mr. Rrondo anamiliki E Class ya 2008. Mbadala wake ni upi kwenye hiyo Lexus au Toyota ambayo wabongo wanamiliki wengi?
Mbadala wake ni Lexus ES350 mkuu ila kwa bongo ni adimu sana kuiona sababu beforward bei mkasi 😁! Hivyo kibongo huyo atapambana na Crown
 
Mbadala wake ni Lexus ES350 mkuu ila kwa bongo ni adimu sana kuiona sababu beforward bei mkasi 😁!
Mie nimepa Toyota centuty la 1990, anasema bongo hamna. Ndio namuambia toyota wana mchine haswaa ambazo ni gharama kiasi kwamba huwezi zikuta humu na sio kwamba watu hatuzitaki. Ila pesa baba. Na ukimuona mtu na Crown ya 18 million au 22. Sio kwamba hawezi nunua BMW na kuitunza.
 
Back
Top Bottom