Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Japo watapinga vikali ila ndio ukweli 😁!
Toyota looks like a boring car to some people but sells like a hotcake! Reliability ndo kila kitu!
Na pesa kwenye mfuko wa shati naambiwa BMW 1 series na TOYOTA Corolla 110 bado nitapeleka pesa TOYOTA na uhakika wa kutumia bila stress na kwenye mazingira yetu bila mawazo. Na ndio utofauti wa Mjapani na Mzungu huko hapo. Na bado kuna watu wataniita mshamba yaani 😆 😆 😆

1612699374135.png
1612699381481.png
 
Huyo mtu anasifia gari ambayo hawezi hata kumiliki miaka 20 ijayo.

Bora wale wanaomiliki german cars za miaka 20 iliopita wana enjoy kidogo.

Njoo kwa hao Lexus fan boys ambao wanaendesha Sienta au Raum ya 2003 huku wanaiponda C class ya 2003.

Kwenye stability hawapo, handling ndo hakuna kabisa, comfort wanaishia isikia kwingine.
Mkuu kwani gari ni sienta tu mzee, si kuna gari za viwango tu kama ES300 ya mwaka huo still ni gari ya uhakika ukiachilia hizi common cars kama GX110 au Verossa mbona ziko comfortable tu kama hio Benz unayotambia? Au ukipanda benz haikanyagi lami 😂😂😂
 
😀😀😀😀 mjerumani kawakaaa. Gari zipo za madaraja tofauti tofauti kwasababu hali za kiuchumi za watu pia zipo tofauti hivyo hivyo
 
Na pesa kwenye mfuko wa shati naambiwa BMW 1 series na TOYOTA Corolla 110 bado nitapeleka pesa TOYOTA na uhakika wa kutumia bila stress na kwenye mazingira yetu bila mawazo. Na ndio utofauti wa Mjapani na Mzungu huko hapo. Na bado kuna watu wataniita mshamba yaani 😆 😆 😆

View attachment 1696737View attachment 1696738
Kingine unajua wabongo tuna ile kasumba sijui ulimbukeni wa kutaka kujitutumua tuonekane tunazo ila matokeo yake ni msiba 😂😂😂!!!

Hamna fedhea kama kupaki gari ati imeharibika fuel pump, unaenda kudandia mwendokasi na majirani zako 😁😁😁! Ukiangalia bei ya pump unajisemea tu wacha ikae tu kwanza ila mwenzio anaenda Ilala analokota pump na fundi wa kuja kuifunga. Kesho yuko barabaran na GX110 yake
 
Watu wanataka kuishi juu ya vipato vyao.
 
Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
Na bado ataomba lift, na kuanza isifia toyota, huku kamasi linamtoka akilia gharama za gari lake la ujerumani.. 😀😀
 
Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
Unakutwa wajerumani wanafungana mota 😂😂😂 wakati anaeshauri yeye kipato cha uhakika kuna wale wana kondoo wanaswagwa tu na upepo,,,

"Aisee chief vuta Volvo XC90 iko vizuri sana comfortably achana na Toyota Rav 4 spea zipo!"

Baada ya miezi 4 mtu anadondoka humu na ID mpya,,, "Natafuta fundi ni swap engine ya Volvo niweke ya Rav 4" 😂😂😂 unajiuliza hizi tabu za nini jamani!
 
Kingine unajua wabongo tuna ile kasumba sijui ulimbukeni wa kutaka kujitutumua tuonekane tunazo ila matokeo yake ni msiba 😂😂😂!!!

Hamna fedhea kama kupaki gari ati imeharibika fuel pump, unaenda kudandia mwendokasi na majirani zako 😁😁😁! Ukiangalia bei ya pump unajisemea tu wacha ikae tu kwanza ila mwenzio anaenda Ilala analokota pump na fundi wa kuja kuifunga. Kesho yuko barabaran na GX110 yake
Mimi kuna siku kama jini kisirani alinipitia,gari iliua bearing ya compressor na za fan belt zote 2,nikasogea urafiki wanapokata magari nikazipata kwa kama ya kuokota vile 🤣,bei niliyoambiwa ilala kwa bearing ya ac nusu yake nikapata bearing zote 3 pale urafiki 🤣,mjini kweli mipango
 
Ishu hapa ni uwezo wa kununua hayo magari mazuri, na ndio maana hata hapa wenye hayo magari ni watu wenye fedha zao.
Baadhi yetu tunafahamu hayo magari mazuri lakini tunaendesha ist kwa sababu hatuwezi kuyanunua hayo
Hayana hata bei kuzidi toyota, bei ni kama sawa tu, Audi A4 showroom haipishani sana na hiyo IST. Cha kujiuliza kwa nini watu hawayanunui sana? Na wanao zimiliki wanazimudu kwa kiasi gani?
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Kweli kabisa East Africa sisi ndio tunamiliki vigari cheap, mara utasikia Nissan spare ghali kamwe huwezi kuta gari za maana km Peugeot, Renault, BMW ,Volkswagen, Audi Jeep,Toyota tundra nk tumekalia kuigana tu kila mtu ni 1st ,Wish Harrier na Rav4 ,uki cross mpk hapo Kenya wenzetu hawana ujinga km wetu mtu ananunua gari yeyote ya choice yake sio kufata mkumbo.
 
Urafiki una maana manzese ile au? Dah, abarikiwe mjapani wetu Toyoda. Maana ingekuwa mjerumani ilikuwa utafte hela ya ada ya mtoto ya mwaka mzima kurekebisha vitu vidogo tu.
Mimi kuna siku kama jini kisirani alinipitia,gari iliua bearing ya compressor na za fan belt zote 2,nikasogea urafiki wanapokata magari nikazipata kwa kama ya kuokota vile 🤣,bei niliyoambiwa ilala kwa bearing ya ac nusu yake nikapata bearing zote pale urafiki 🤣,mjini kweli mipango
 
Back
Top Bottom