Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
Extrovert
Corolla hii.. walete na hizo BMW zao za kichovu 😀😀
2012 Toyota Corolla S - Vernon
Screenshot_20210207-152108_Chrome.jpg
 
Urafiki una maana manzese ile au? Dah, abarikiwe mjapani wetu Toyoda. Maana ingekuwa mjerumani ilikuwa utafte hela ya ada ya mtoto ya mwaka mzima kurekebisha vitu vidogo tu.
Pale kituo cha bus mahakama ya ndizi kwenye traffic right,kama unatokea ubungo usivuke zile taa,kata kushoto kwako kama unaenda tandale uzuri,gari yangu ni rav4 kufika pale nikakuta baloon kama limetupwa na lenyewe lina 3s 🤣 linangojea kukatwa,tukachomoa humo,raha ya mjapenga achana nayo
 
Pale kituo cha bus mahakama ya ndizi kwenye traffic right,kama unatokea ubungo usivuke zile taa,kata mkono wa kulia kama unaenda tandale uzuri,gari yangu ni rav4 kufika pale nikakuta baloon kama limetupwa na lenyewe lina 3s 🤣 linangojea kukatwa,tukachomoa humo,raha ya mjapenga achana nayo
Jamaa walikupa bei ya kutupwa bila shaka! Sasa imagine kwa mjerumani spare gani utauziwa 40K? 😂😂😂 Maana kila gari toleo lake linakuja na spear tofauti. Hapa ndip Toyota alipotisha zaidi!

Engine moja application kwenye gari 3-4....Spare pia zinaingiliana kichizi yani 😁😁😁
 
Hatari sana hii mashine😂 ila umeskia corrolla ya 2021 itakuwa ni GR kama ile Yaris. Nayo itakuwa inamwaga moto balaa 267HP itakuja na turobocharger!
Mjapan ana mawe ya hatari sana, sina mashaka kabisa na uwezo wa mjapan. Corolla zipo njema sanaaa. Ila wajeruma watasema ni taka taka
 
Unakutwa wajerumani wanafungana mota 😂😂😂 wakati anaeshauri yeye kipato cha uhakika kuna wale wana kondoo wanaswagwa tu na upepo,,,

"Aisee chief vuta Volvo XC90 iko vizuri sana comfortably achana na Toyota Rav 4 spea zipo!"

Baada ya miezi 4 mtu anadondoka humu na ID mpya,,, "Natafuta fundi ni swap engine ya Volvo niweke ya Rav 4" 😂😂😂 unajiuliza hizi tabu za nini jamani!
Wanapokuwa garage;
Mjapana: haina shida ni shilingi ngapi hiyo boss ?
Mjerumani : nyie wa toyota maisha yenu mazuri sana, sio kama sisi, hapa inabidi niiache gari hadi siku nikipata pesa, likikaa sawa nauza nahami kwenu, nyie gari zenu hazina shida kabisa
 
Wanapokuwa garage;
Mjapana: haina shida ni shilingi ngapi hiyo boss ?
Mjerumani : nyie wa toyota maisha yenu mazuri sana, sio kama sisi, hapa inabidi niiache gari hadi siku nikipata pesa, likikaa sawa nauza nahami kwenu, nyie gari zenu hazina shida kabisa
Ogopa sana European car inauzwa kutoka kwa mzaramo mwenzako kalitumia limemshinda, yaani kimbia aisee...
 
Back
Top Bottom