Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mie nimepa Toyota centuty la 1990, anasema bongo hamna. Ndio namuambia toyota wana mchine haswaa ambazo ni gharama kiasi kwamba huwezi zikuta humu na sio kwamba watu hatuzitaki. Ila pesa baba. Na ukimuona mtu na Crown ya 18 million au 22. Sio kwamba hawezi nunua BMW na kuitunza.
Century gari kubwa sana ku compare na hio aliosema.
 
Century gari kubwa sana ku compare na hio aliosema.
Vipi hii haoa ?

Screenshot_20210207-144336_Chrome.jpg
 
Mkuu hio list ulioiweka ni user generated content sababu imelingalisha magari yaliopo kwenye different class of cars huwezi weka Toyota 4 Runner, Toyota Rav 4, Subaru Forester na Outback (Legacy) kwenye kundi moja...

25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020​

Hujaelewa kwa sababu za POLEPOLE hujaziona na hapa kwetu ni nyingi 😆 😆 😆 😆 😆

"U.S. auto sales were looking good for the first few months of 2020—until the COVID-19 pandemic interrupted many aspects of daily life in our country. Automakers have now reported sales numbers for the entire year, and they were a mixed bag. Due to a stoppage in sales during the second half of March, the numbers were rocky throughout April, May, and June but then then began to show signs of improvement later, in the third and fourth quarters. We've now tallied up the 25 best-selling cars, trucks, and SUVs through all of 2020, which—predictably—is a list full of SUVs and trucks, along with a smattering of cars."
 
Dunia hii ni sehemu ipi TOYOTA hakubaliki????? 25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020 Kutoka makampuni makubwa yote ya magari katika gari 25 zilizoshindanishwa na kuingia top 25 TOTOTA kaingiza gari sita na Japan kwa ujumla 🇯🇵 kaingiza gari 14. karibia 50+% ya soko la magari kaliteka Mjapan na Mjerumani 🇩🇪 sijamuona hata kwa gari moja.


1. Ford F-Series (787,422 units sold)
2. Chevrolet Silverado (586,675 units sold)
3. Ram Pickup (563,676 units sold)
4. Toyota RAV4 (430,387 units sold) 🇯🇵
5. Honda CR-V (333,502 units sold)🇯🇵
6. Toyota Camry (294,348 units sold)🇯🇵

7. Chevrolet Equinox (270,994 units sold)
8. Honda Civic (261,225 units sold)🇯🇵
9. GMC Sierra (253,016 units sold)
10. Toyota Tacoma (238,806 units sold)🇯🇵
11. Toyota Corolla (237,178 units sold)
🇯🇵
12. Nissan Rogue (227,935 units sold)🇯🇵

13. Ford Explorer (226,217 units sold)
14. Toyota Highlander (212,276 units sold)🇯🇵
15. Jeep Grand Cherokee (209,786 units sold)
16. Jeep Wrangler (201,311 units sold)
17. Honda Accord (199,458 units sold)🇯🇵
18. Ford Escape (178,496 units sold)
19. Subaru Forester (176,996 units sold)🇯🇵
20. Subaru Outback (153,294 units sold)🇯🇵
21. Mazda CX-5 (146,420 units sold)🇯🇵
22. Nissan Altima (137,988 units sold)🇯🇵

23. Jeep Cherokee (135,855 units sold)
24. Ford Transit (131,556 units sold)
25. Toyota 4Runner (129,052 units sold)🇯🇵

Tuache kumlinganisha Mjapani na vitu vya kijinga, Wabongo wenzangu mpo sawa kabisa TOYOTA ndio ndugu yetu wa damu kabisaaa








View attachment 1696661
Japo watapinga vikali ila ndio ukweli 😁!
Toyota looks like a boring car to some people but sells like a hotcake! Reliability ndo kila kitu!
 
Back
Top Bottom