Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Usiangalie magari wanayopenda waTanzania ndio ukahisi ndio uhalisia wa dunia. Miaka mingi gari aliyokuwa inaongoza kwa mauzo duniani kila mwaka ni VolksWagon. Mwaka jana Toyota akaongoza kwa mala ya kwanza. German ana export magari mengi sana

View attachment 1696887
Hizo unit in millions.
Utofauti wa TOYOTA na VW reliability. Zaidi TOYOTA amekwenda mbali kwa kuangalia uchumi wa wateja wake ndio maana ana variety nyingi zaidi sokoni kuliko VW na pia upatikanaji wa spare zake ni cheap hata kwa watu wa chini.. Asilimia kubwa ya magari tulio nayo TZ hata kwenye official website ya Toyota Global hayapo hata ukienda search engine kusearch huyakuti. Harrier tu tunayoiona ni gari kwetu kwenye website ya TOYOTA haipo na haijulikani. Na inawezekana hata waliotoa hizo statistics kati ya TOYOTA na VW wamehusisha TOYOTA official cars achana na hao akina VITZ, IST, OPA, IPSUM, BREVIS
1612715821833.png
 
Hata Toyota ninayo.

Bado ipo kwasababu inabeba historia ndefu.

Ila siikubali kabisa.
Umeishazoe mjerumani ,mjep huwezi kumkubali. Kuna mzee mmoja yeye wankishua toka udogoni na wanatumia kwao Europen car toka kitambo, kuna siku akashika crown alishangaa njia nzima anaisifia 😀😀😀
 
Utofauti wa TOYOTA na VW reliability. Zaidi TOYOTA amekwenda mbali kwa kuangalia uchumi wa wateja wake ndio maana ana variety nyingi zaidi sokoni kuliko VW na pia upatikanaji wa spare zake ni cheap hata kwa watu wa chini.. Asilimia kubwa ya magari tulio nayo TZ hata kwenye official website ya Toyota Global hayapo hata ukienda search engine kusearch huyakuti. Harrier tu tunayoiona ni gari kwetu kwenye website ya TOYOTA haipo na haijulikani. Na inawezekana hata waliotoa hizo statistics kati ya TOYOTA na VW wamehusisha TOYOTA official cars achana na hao akina VITZ, IST, OPA, IPSUM, BREVISView attachment 1696897
Hizo gari hazipo sababu ni Outdated models! Gari ambazo ziko kwenye website ni current models mkuu.
 
Unakutwa wajerumani wanafungana mota 😂😂😂 wakati anaeshauri yeye kipato cha uhakika kuna wale wana kondoo wanaswagwa tu na upepo,,,

"Aisee chief vuta Volvo XC90 iko vizuri sana comfortably achana na Toyota Rav 4 spea zipo!"

Baada ya miezi 4 mtu anadondoka humu na ID mpya,,, "Natafuta fundi ni swap engine ya Volvo niweke ya Rav 4" 😂😂😂 unajiuliza hizi tabu za nini jamani!
😃😃😃 na wanapendeles 3s engine kwny kuswap balaa.
 
Sasa we gari unazozipenda zote unazimiliki mkuu? Mi nachoona umeishiwa sera tu 😁😁😁

Au we Maybach huipendi mbona huileti sasa?!
Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu 😀😀😀
 
Mtalinganisha sijui Mjapani na Mjerumani mpaka mtabonyea , lakini ukweli mnajua moyoni kwamba Gari za Ulaya na za Mjapan ,kwa maana mnaona wenye nazo Garage zao huwa Gari za kutoka wapi zinapaki. Tunaona mabilionea na watu maarufu Duniani kote ni Gari gani wanazotamba nazo, sijawahi kuona Toyota mimi kwa hawa watu.. ukiendesha Gari ya mjerumani sidhani Kama utawaza kuendesha Gari ya mjapan tena. Ni wachache mno walioweza kuchomoka kwenye hilo, hila naamini wengi walio kwenye Toyota wanatamani kukalia kiti cha Mjerumani.. Kama unabisha hilo jaribu uone . Kaa kwenye Crown ya mwaka 2010 halafu kaa kwenye bmw ya mwaka 2004 tuu leta mrejesho , Wazungu awakosei jamani..
Unafikili hawajui, wanajipa moyo tu, wanatuletea mapicha ya model za 2020. Wamebaki kulinganisha bei.
 
Hizo gari hazipo sababu ni Outdated models! Gari ambazo ziko kwenye website ni current models mkuu.
Mkuu nimefuatilia sana magari ya TOYOTA. kwa yaliyopo hapa nchini magari ambayo TOYOTA huyakosi kwenye website yao ni
1. Land cruiser
2. RAVA4
3. Corolla
4. Hiace
5. Camry

Hizo za hapa Bongo kwetu sijawahi ziona, ni miaka kibao TOYOTA kasimama nia hizo
 
Most valuable car companies 2020
1612717141662.png


Most valuable car company in the world list
1612717173109.png




Most selling car brand in the world


1612717214720.png
 
Back
Top Bottom