Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Don't be personal.

Bmw, audi, vw unazoziona bongo ni za zamani ndio. Ila zipo kwenye website.

Ukiona mtu anamiliki audi a4 ujue dunia nzima ni standard moja.

Sasa hizo toyota zenu mbona hazipo globally? Mkaleta story za lexus.

Hizo lexus hatuoni mkizimiliki zaidi ya kukimbilia vigari vya ajabuajabu. Miliki basi hata hizo tundra au tacoma hata za 2003 basi.

Huyo mzee wako kusifia crown ni sawa na bill gate ale makande ya shule ayasifie. Ina maana ni mazuri?

Sitoi sifa kijinga mpaka nione unastahili. So far hustahili na ki-crown chako.
 
Kwaiyo Crown ni mbaya ?
Sie hata hatutaki sifa zako asee 😀😀😀
Ila tunajua mjapan ana gari za maana hata kama hatuna uwezo wa kuzinunua kwa sasa. Ila hapo mbeleni tutaziweka kwa roa.

Mie situmii Crown mkuu.. ila nazielewa ni moja ya kati bora kabisa
 
Sasa gari ya 2005 iwepo kwenye website kufanya nini? Aandike Toyota Crown 2021 aone kama hataiona kwenye Website.

Wao wanafanya biashara ya magari mapya and current makes sio gari chakavu!
1612719930620.png
 
Singia ataweza maana ni mjini mdogo sana, kwa mizunguko ya siku haizidi hata km 40. Ila ikizingua ataita maji mma. Hakuna garage za kueleweka.
Gari inaweza safirishwa kwenda garage au fundi anasafiri kuifuata gari.

Dunia imekuwa kijiji, spare zinasafirishwa dunia nzima.

Starehe zinagharimiwa. Bongo kuna Bentleys, Aston Martin, Ferrari na maisha yanaenda.

Huwezi endesha boring cars kwa kisingizio sina mafundi.
 
Boring cars ni aina gani hizo mkuu ?
 
Sasa haiwezekeni kwenye Website zikawepo gari zote mkuu [emoji3][emoji3][emoji3].
Kwanini isiwezekane?

Mbona website za amazon au ebay zina bidhaa aina zaidi ya maelfu kwa maelfu.

Iweje toyota washindwe weka models zote? U wana models bilion ngapi washindwe kuziweka?
 
Kwanini isiwezekane?

Mbona website za amazon au ebay zina bidhaa aina zaidi ya maelfu kwa maelfu.

Iweje toyota washindwe weka models zote? U wana models bilion ngapi washindwe kuziweka?
Amazon na website kama ya Toyota hazilingani ki maudhui. Usitake fananisha hivyo vitu kwa wataalamu wa techonology za web na design watakucheka 😀🙂😀🙂
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Onesha Crown yako ya 2020 basi.

Mi nina E class ya 2008 sijui 2005.

IST yako ya 2019 ipo wapi?
Mkuu mie sina gari zote tajwa hapo juu.. mie ni fundi garage tu 😀😀😀 tena nyoka nafundishwa kazi
 
Sasa gari ya 2005 iwepo kwenye website kufanya nini? Aandike Toyota Crown 2021 aone kama hataiona kwenye Website.

Wao wanafanya biashara ya magari mapya and current makes sio gari chakavu!
Toyota Crown 2021 haipo kwenye website ya Toyota.

Nimegoogle kama unavyosema ila haipo. Vinakuja vimitandao vya ajabu ajabu.

Google na wewe 2021 bmw 3 series.
 
Toyota Crown 2021 haipo kwenye website ya Toyota.

Nimegoogle kama unavyosema ila haipo. Vinakuja vimitandao vya ajabu ajabu.

Google na wewe 2021 bmw 3 series.
Nenda google andika Toyota crown global hata model za bongo zinapatikana kwenye toyota global
1612720755753.png

Nimeweza mpata mpaka Opa 75 Years of TOYOTA | TOYOTA MOTOR CORPORATION GLOBAL WEBSITE | Vehicle Lineage | In-depth Vehicle Information, Specification Sema websites zaTOYOTA zina vitu vingi na wana website nyingi tu.
1612720821217.png
 
Kwaiyo Crown ni mbaya ?
Sie hata hatutaki sifa zako asee [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila tunajua mjapan ana gari za maana hata kama hatuna uwezo wa kuzinunua kwa sasa. Ila hapo mbeleni tutaziweka kwa roa.

Mie situmii Crown mkuu.. ila nazielewa ni moja ya kati bora kabisa
Sub standard cars.

Gari za Toyota zinazoenda UK na US ni bora kuliko mnazozisifia zenu huku.

US, UK huwezi kuta hizo crown, brevis zenu.

Gari ikifika 150kph kinaanza kuswing, moyo unaanza kwenda mbio.
 
Back
Top Bottom