Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu 😀😀😀