Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu 😀😀😀
Nimemuuliza yeye Maybach au G Wagon hazipendi? Si azilete tumuone nazo 😁😁😁 maana kauliza swali la ajabu kidogo!
 
Dan DTI gari tunazonunua tz hazipi kwenye website ya TOYOTA .Nikipata bundle nitaangalia kudhibitisha kama hii kauli ni kweli.
Ila na sis tumezidi magari mengi yana zaidi ya miaka 15 inawezekana yashafutwa kwenye kuyazalisha na kuuza.
 
Umeishazoe mjerumani ,mjep huwezi kumkubali. Kuna mzee mmoja yeye wankishua toka udogoni na wanatumia kwao Europen car toka kitambo, kuna siku akashika crown alishangaa njia nzima anaisifia [emoji3][emoji3][emoji3]
Haha. Crown.

Ongeleeni hizo Lexus.

Achaneni hizo gari za vichochoroni hata kwenye website ya kampuni haipo.

Nasikia mnaziita ndege za ardhini. Haha.
 
Dan DTI gari tunazonunua tz hazipi kwenye website ya TOYOTA .Nikipata bundle nitaangalia kudhibitisha kama hii kauli ni kweli.
Ila na sis tumezidi magari mengi yana zaidi ya miaka 15 inawezekana yashafutwa kwenye kuyazalisha na kuuza.
Hata tokea miaka ya 2005 nimekuwa nafuatilia, ukitaka datails za magari yetu pita wikipedia na sio Toyota global, huzikuti. Hizo Mark II sijui Chaser, balloon, Mark X sijawahi ziona mpaka leo.
 
Back
Top Bottom