Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Don't be personal.Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Bmw, audi, vw unazoziona bongo ni za zamani ndio. Ila zipo kwenye website.
Ukiona mtu anamiliki audi a4 ujue dunia nzima ni standard moja.
Sasa hizo toyota zenu mbona hazipo globally? Mkaleta story za lexus.
Hizo lexus hatuoni mkizimiliki zaidi ya kukimbilia vigari vya ajabuajabu. Miliki basi hata hizo tundra au tacoma hata za 2003 basi.
Huyo mzee wako kusifia crown ni sawa na bill gate ale makande ya shule ayasifie. Ina maana ni mazuri?
Sitoi sifa kijinga mpaka nione unastahili. So far hustahili na ki-crown chako.