Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Alafu jamaa hata hawajiulizi kwanini rav 4 inayouzwa UK tofauti na bongo?
Tukubali tukatae sisi uwezo wa kumiliki Germany machine hatuna, tusitafute visingizio eti spares, mafuta dunia kijiji.
Hata hizo toyota zao bado zinawatoa jasho kuzimiliki.

Unakuta gari namba D imechakaa kama bibi wa miaka 100.

Wakati mjerumani namba A yupo fresh.
 
Hizi tunazoita luxuryars (Benz E-Class) hapo Cairo,Germany,Greece ,Amsterdam ni taxi hizo.

Huku S-class/7-series hapo munich nazo zikiwa ni taxi tu kama kawa.
Kachukue basi Brevis au Crown basi uzifanye Taxi hapa bongo.

Usisahau hata mbele wana Uber za Choppa.
 
Hata hizo toyota zao bado zinawatoa jasho kuzimiliki.

Unakuta gari namba D imechakaa kama bibi wa miaka 100.

Wakati mjerumani namba A yupo fresh.
1612724382559.png

Imekosa mnunuzi namba C kwa 3.5m hiyo bei hata vitz namba A hupati 😀 😀 😀 😀
 
Hiyo ni kashfa.

Wazungu hawawezi kukubali wajichafue kwa uzembe wa aina hiyo.

Emission standard case ya VW wamelipa fidia mabilioni ya kutosha.

Taasisi za viwango za US na Europe wakute unatengeneza spare za kuharibika baada ya miaka mitatu kabla hawajakufutia leseni.

Hizo kampuni zina reputation zao, haziji bahati mbaya.
Sio kwa BMW chief ,,
 
Mkuu wewe unaonekana una ugomvi na watu wasio na pesa. Hakuna mtu anaependa hali kama hiyo. Ila hali ya kipesa za watu. Acha dharau basi , shukuru una hiyo gari yako ya mjapan. [emoji3][emoji3][emoji3]. Kuna watu humu wana gari very expensive kuliko yako na huwezi kuta wanadharau [emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie ndo mnaitwa wanyonge na jpm mnatembea kifua mbele.

Binafsi sipendi umasikini. Na sitaki kuridhika na umasikini kama ninao. Sipendi kumiliki vitu vibayabaya.

Napenda vitu vizuri, kuna wakati inabidi uutishe umasikini. Napenda kuvaa vitu vizuri, kumiliki mambo mazuri, kuishi sehemu nzuri na bora.

Napenda kuwa 'unique'. Sipendi nimiliki kitu halafu nione kila mtu anacho.
 
Mbona hilo najua.

Kuna jipya unaweza sema ambalo silijui.

Nyie ndo wale watanzania wakiambiwa ukweli wanakimbilia kusema mnadharauliwa.
 
😀😀😀😀 JPM na hapa wapi na wapi. Ebu muache Baba wa watu atimize majukumu yake ya kitaifa. Na hakuna mtu anae penda umaskini au kuulea umaskini. Huwezi jua mioyo ya watu na hustle za watu mkuu.. shukuru unacho na shukuru una akili ya kupambana..
 
Mbona hilo najua.

Kuna jipya unaweza sema ambalo silijui.

Nyie ndo wale watanzania wakiambiwa ukweli wanakimbilia kusema mnadharauliwa.
Nazungumzia wingi mkuu.. unaeza hisi katika fikra zako, 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom