Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Hizo gari hauzioni kwa sababu wameacha kuzalisha, huku zipo kwa sababu tunanua chakavu. Yaani tunanunua magari chakavu.
 
Wajerumani watakuja wakwambie hii ni takataka tu haifui dafu hata kwa golf gti,[emoji2][emoji2][emoji2]

Subiri hapohapo wanakuja mzee.
Hayo ni mawazo yake hapingwi, hata mtu akisifi tdi 109 yupo sawa.
Hivi mtu una pesa zako za kutosha ushindwe kuagiza Germany/UK mashines uagize mjapani? Aaah wapi
 
Hayo ni mawazo yake hapingwi, hata mtu akisifi tdi 109 yupo sawa.
Hivi mtu una pesa zako za kutosha ushindwe kuagiza Germany/UK mashines uagize mjapani? Aaah wapi
Hizo Germany/UK machines unazosemea ndio kama zipi?
 
Kwaiyo unataka kutuambia Crown ni sawa na Ist?!!!
 
Kumekuchaaaa, Mjerumani Jerry's Spare katoa appreciation kwa Mjapan πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
View attachment 1699383
Kipi kilichokushangaza mkuu. Naanza kuamini kuna ka ulimbukeni mnacho, Sasa unashangaa mtu kuisifia gari kama hiyo?

Nimekundua kuwa huyu Jelly mmemuweka kwenye profile kubwa sana. Kila muda mnachungulia anachofanya na bahati mbaya amuishi kumponda humu.
 
Jerry's ni mdau mkubwa sana wa European cars (self profiled), Kukubali gari za Toyota ni ujumbe kwa wajerumani hasaa wa humu JF kuwa TOYOTA wanatengeneza gari zenye ubora. Kuhusu kumfuatilia ndio tunamfuatilia sana tu na tupo wengi kweli 44.1k followers, ndio maana karuhusu followers hapo instagram ili afuatiliwe.

Limbukeni ni wewe usiejua nini maana ya followers....Tafuta post yangu yoyote niliyomponda Jerry's weka hapa. Magufuli mwenyewe wanamponda itakuwa Jerry's ?????? Kwendraaaaaaaaaaaaaa hukooooooooooooooooooo
 
Nasis tunao tumia subaru unatuweka wapi?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…