Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4-Muonekano mzuri na imara. 5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji. 6-Iwe na uwezo wa kupita off-road. 7-Isiwe old model. 8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw). Na kinachonimaliza kabisa... 9-Iwe na bei nafuu. Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka.. Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k... Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu? Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.
1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg
2021-Tundra-1-copy.jpg
USC90JES052F021001.jpg
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Mkuu binafsi nimekuelewa unachoomaanisha. Kinachotokea ni kuwa watu wengi wa kipato cha chini na cha kati, hatuna elimu kuhusu magari hivyo tunanunua kwa kusikilizia sifa za magari hayo kwa watu wengine, wengine tunanunua magari ili tuonekane kuwa tuna magari (hakuna lengo maalumu la kuwa na gari)

Kingine ni maisha ya kuigiza hii pia inaleta hofu ya kupata habari Zaidi (maana naona nikiuliza nitaonekana sijui) hivyo naenda kimya kimya. Lakini la zaidi kwa baadhi yetu hasa WANAUME ni tabia ya kujiendekeza kwa kutaka vitu vizuri kwa bei nafuu huku tukijua kuwa tangu zama za wazee wetu "UKITAKA UZURI SHARTI UZURIKE (Maana yake vizuri vina gharama)
 
Mkuu nimekuelewa, ni kweli waTanzania wengi hatuna elimu kuhusu gari, wenzetu walishaendelea sana thats why unakuta mtu anakwenda kununua gari kwa matumizi maalumu, mfano wenzetu wanajua ni gari zipi ni bora na zimetengenezwa kwa ajili ya familia, zipi ni kwa ajili ya safari,zipi ni kwa ajili ya kulia starehe n.k, wengi wao wanazaliwa wanakuta magari kwao(kwa wenzetu).
Hivyo wanakuwa na elimu ya magari toka wapo watoto wadogo.

Familia chache huku kwetu watu wanazaliwa wanakuta kwao kuna gari, familia nyingi hawana hio bahati hivyo uelewa unakuwa mdogo kuhusu magari.

Mfano utakuta mtu humu anauliza kama noah inakimbia au la, wakati noah ni gari ya kifamilia, mfano kuna zile jeep srt, na jeep trackhawk naonaga wazungu wanasema ni family car, gari ina horse power 700 wanasema ni family car hapo ndipo nachoka.

Huku kipindi nakua nilikua nasikiaga watu wanasema defender inakimbia sana 😅 😅 😅 asee, kwa wenzetu hio wanaita sleeper, yaani ni ya kawaida sana katika mwendo, hizi Vx v8 zote ni sleeper lakini ni bora sana katika safari ndefu,ni bora katika bara bara rough na luxury.

Naona kuna fursa ya wataalamu wa magari kuwapa elimu waTanzania kuhusu magari maalumu kwa matumizi maalumu.
Wauza magari na wao wanawapotosha watu, unakuta mtu anasifu crown athlete inakimbia sana, halafu anakwambia nissan fuga ni jini😅😅, aliyeambiwa hivyo akitoka anakwenda kuwaambia wengine hivyo watu wanakimbilia ist kila siku, dealers wanaona ist zinakwenda na wao wanazidi kuleta mzigo.

Wauza vipuri hawashindwi kuleta vipuri vya audi, bmw, lexus n.k, wao wanaangalia soko, soko ndio hilo la ist na wao wataleta vipuri vya toyota.
 
Jamaa mwenye hizi thread anaijua crown au anaisikia. Akaangalia crown athlete ya 2010 ni bei gani na bmw series 5 ya the same year ni bei gani. Crown inauzwa bei ghali kuliko bmw. Na ina sensors za kutosha
Wajapani wanatuibia tuu Mkuu gari ya 2010 ni ya zamani sio ya bei hiyo kabisa ya 2020 watauza bei gani?
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Ongeza Sauti Mkuu nadhani Huku backbenchers bado hatujakupata vizuri.....................
 
Kumbe kumiliki vitz na Ist ni kumkosea mungu au nikosa kisheria? View attachment 1696538
Narudia tena wajapani wanawaibia sana gari ya 2010 wanawauzia bei hiyo wakati gari ya zamani kwa bei hizo daah nimeenda scrape yard moja nimekuta Lexus hybrid ya 2012 bei waliyoniambia ni ya kutupa na ntaichukua maana bei niliyouliza huko ni hatari mno...
 
Wajapan wanawaibia wakina nani mkuu?
Wanatuibia Afrika kwa bei zao kubwa mno wewe gari ya 2010 unaambiwa sijui 10,000 usd au Rav 4 ya 2012 bei ya Japan unapata Porsche cayene SA used ya mwaka huo huo wao mwaka sio kigezo wanaangalia soko...pick up hilux ya 1999 huku unaweza ukaokota bei yake Japan bado bei ipo pale pale
 
Sasa hao wasauzi kwanini hawatuletei porsche hapa Dodoma kwa bei ya Harrier?
 
Kwa hio Toyota used huko UK,US ni cheap kulinganisha na other brands?

Dunia nzima depreciation za bmw,mercedes,audi,porsche etc ni kubwa sana kulinganisha na Toyota/honda,so used japanese cars ni expensive kulinganisha na other brands kwny gari zilizoko kwny same categories.

Nasisitiza tena hata UK,USA toyota used ni expensive kuliko hizo used za Germany.
 
Sasa hao wasauzi kwanini hawatuletei porsche hapa Dodoma kwa bei ya Harrier?
Kodi mzee hapo bongo ni 65,000,000 nazungumzia bei ya Japan na SA ipo tofauti mno kule mwaka sio kigezo SA hata range ikiwa ya 2009 utakuta bei ya kutupa na yapo mengi tuu mnaambiwa mnaleta ujuaji gari mm hapa naweza kununua bei ya kutupa ila napokuja nayo Tanzania wanaiona gari ya gharama...
 
Receipt ya manunuzi au mkataba wa manunuzi si unakuwa na bei ya kununulia jamaa?
 
Kwa hio Toyota used huko UK,US ni cheap kulinganisha na other brands?

Dunia nzima depreciation za bmw,mercedes,audi,porsche etc ni kubwa kulinganisha na Toyota/honda,so used japanese cars ni expensive kulinganisha na other brands kwny gari zilizoko kwny same categories.

Nasisitiza tena hata UK,USA toyota used ni expensive kuliko hizo used za Germany.
Lexus ya 2012 hybrid nimenunua rand 50,000 hata wiki haina ipo tuu huko uliza huko Tanzania ni bei gani hiyo ni Kama tsh milion tano tuu...
 
View attachment 1700500

Kinachowaongoza TRA kutunyonya dam ni kipi hasa kama gari hii unaipata kwa chini ya 7m TZS???
Mkuu hivi serikali hawaoni barabara zetu zilivyojaa babywalker?
Toyota wana gari nzuri sana ambazo ni za maana na ni luxury, kwa nini serikali isianze kutoza pesa kidogo kwa baadhi ya gari za maana kama hii RX.
Halafu gari bora ambazo sisi tunaona ni za gharama zina usalama sana hata ajali inapotokea, tusiishie kusema tu running cost na mafuta.
Tukumbukeni safety pia ndugu zangu,TRA kweli wanatunyonya damu, wao wanatembelea vitu vya maana kwa pesa zetu za kodi, inauma sana......
 
Back
Top Bottom